"Vyuo ambayo sio vyuo Vikuu ni IFM, CBE, Arusha Tech., hizi ni taasisi za elimu zinatoa ngazi ya cheti hadi Masters vyote vipo chini na NACTE"
"Vyuo vikuu vyote vipo chini ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kama UDSM, UDOM na vingine" - Dkt. Geofey Oleke
Tout Puissant Mazembe maarufu kama TP Mazembe kutoka Lubumbashi, DR Congo watakuwa wageni wetu katika siku kubwa nchini ๐ฆ๐๐ ๐๐ ๐๐๐ฌ ๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ญ ๐ช #SimbaDay2021#OneTeamOneDream#NguvuMoja
VIDEO: Kiwanda cha kuunganisha magari ya Volkswagen Rwanda kilichoanzishwa 2018 kimeanza kuunganisha aina nyingine ya gari na hivyo kufikisha aina saba za magari kinachoyaunganisha hadi sasa, tayari wameunganisha magari 700+, video nzima ipo hapa https://t.co/FJNCXy14K8