@vee__victoria Mtazamo tu , Masikini huamini kua kuzaa watoto wengi kutamsaidia kwenye uzalishaji Mali nyumbani na akiwa nao wengi kila moja atakua na roho yake, Sio tajiri ila naisi hofu yao kubwa ni urithi
#HABARI Rais Mstaafu Dkt. @jmkikwete na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, leo tarehe 27 Mei 2021 akiwa chuoni hapo kwa ajili ya kutunuku digrii kwenye duru ya kwanza ya Mahafali ya 51 ya UDSM.
Mh. Asiya Habdallah Mkuu wa Wilaya ya Kilolo akisaini kitabu cha wageni walio tembelea banda la chuo Kikuu cha Iringa zamani Tumaini. Maonesha haya yalikua nisambamba na uzinduzi wa mkutano ulio lenga kanuni za uwekezaji mkoani Iringa
📷 @herry_titus
#uoinurumpya#uoitv
Utoaji heshima za mwisho kwa mwili wa Hayati Rais John Pombe Magufuli unaendelea uwanja wa Amaan, unaweza kufuatilia kupitia CloudsTV na:
YouTube >> https://t.co/pIgICCFSoG
Facebook >> https://t.co/eGYeAhIvc2