@mafolebaraka Ulitaka kuuza ujuzi au ulitaka kupata views, kila maamuzi yanamatokeo yake. Ķama ulichokipata ni toafauti na lengo lako basi badilisha lengo.
@George_Ambangil Chini ya bechama hapo unamweka @jameswardp then washajipanga, akikosekana wa kwanza ntamchagua wa pili akikosekana wa pili atapiga wardrobe then ndo wengine watafuata.