Hassan Mwakinyo kwangu mimi ndio Mwanamichezo ambae anajua sana kujielezea yeye na anachofanya, ana misimamo kwa kile anacho kiamini 🫵🏻
Bonge la Interview kwa Champez @BDozen
Kama unapitia mafunzo wanayotoa madogo kwenye page ya “UNI COLLEGE SHOW” unakuja kugundua madogo wa sikuizi wanaakili kubwa sana kuliko walimu wetu wengi wa zamani.
Oya madogo wanatumia lugha na mifano miepesi sana mpaka unaelewa. Kuna mambo kibao zamani darasani sikuelewa hasa kwenye somo la Physics ila hawa madogo wa sasa wananifanya nielewe kirahisi sana.
Necta wanavyotangaza UFAULU umepanda tusiwabishie.
Leo nilikuwa naangalia my university transcript kuna somo 3rd year Civil Engineering and Construction UE yake nilikesha nasoma mpaka saa 12 alfajiri nikaenda tu kujiandaa nikarudi nikaingia kwenye mtihani, ule mtihani nilisinzia nikaja kushtuka one hour left but I got an A😂🙌🏾
Yanga imetambulisha wachezaji wa3 wazawa mpaka sasa na kuna baadhi tetesi zinaendelea, na baadhi ya Yanga fans wanalaumu kwa hao waliosajiliwa kwamba hawakidhi matarajio.
Swali je?? Huko sokoni kuna wachezaji bora kuliko hao, na ni akina nani hao.