Kama mnalipa mama fua 1500 per session, I will gladly wash your clothes. Nikioshea 5 tweeps per day hiyo ni 7500. Kshs.225,000 per month untaxed. Mshahara ya bank manager. Nikiongeza after services like ironing nikona 300k clean. Bado mnanipea take away food. Leteni kazi.
Ndo nime realise it's 9 months to general election so I humbly request you guys to abstain for atleast a month or so...Msjipate maternity ward siku ya election
Kiasi tu tukomboe nchi🙏🏾
Na wanaume sio ati kila saa wewe uko hapo unasema unatafutia familia pesa,kwani hii pesa unadhani ni wewe kwanza kutafuta? Hii pesa inataka ukiipata unaitumia vile iko,juu ukisema nikutafuta mpaka itoshe,haitaai tosha. Mimi tangu nigundue namna hii mambo yangu imekua rahisi sana,sasa kama jana kuna mahali tumekua na my Secret 22 years gensi girlfriend,kule pande ya Embakasi, Tassia, kuna Mansion pale inaitwa Triad apartments,its not very far from the airport
Pale ni maBnBs lakini nao wako mpaka na sauna. Sauna ni hii mnaingia room namna hii mnachemka na steam,nikama mko Ol karia,ni kutoa germs tu. Saturday usiku nyinyi mkilalia ngumi mimi na kakidosho kangu tulikua tunachemka. Na pale aitaki uende pekee yako,juu sasa mkimalisa mchemso ni massage,bloodflow inaongezeka,damu naye ikitembea msuri unajua naye makagare aipumsiki,ndio maana nilibeba hii kamsichana yangu,kamenisaidia sana.
Uzuri wa tuschana ata ukikaamsha saa tisa kanainua mguu tu,sio kama bibi,bibi kuna siku nimeamsha yeye 6am tupange uzazi akaniuliza kama namuonanga kama sex object? Bibi yangu! Aii,wanaume ni tuchanuane,mungu abariki huyi jamaa wa Triad apartments. Ametusaidia sana sisi wanaume. Mpaka wako na pool,siet!