‼️🚨STEVE NYERERE NDO NANI HADI APEWE AIRTIME? 😂🚨‼️
Ukiona mtu anatumia hadi misiba kuanza kupiga propaganda ujue katumwa!
Ila @SuluhuSamia hii ndo brain thrust yako kweli?
Kumbuka hawa hawatambuliki kikatiba - the buck stops with you!
Leo DEUSDEDITH SOKA na wenzake wametimiza siku 50 tangu watekwe na wanaodhaniwa kuwa ni Askari wa Jeshi la Polisi la Tanzania na kufichwa kusikojulikana!!! Tusichoke kupaza sauti....
#FreeDeusdedithSoka#FreeDeusdedithSoka#FreeDeusdedithSoka
BREAKING NEWS:-
2,000 🇮🇷 Makombora ya Iran , yako kwenye hali ya kusubiri, tayari kushambulia 🇮🇱 Israel...
Iran "imeweka mapema" na kusawazisha takriban makombora 2,000, yaliyotayarishwa kulenga mamia ya maeneo nchini Israeli
‼️ELIMU BURE - BURE ELIMU‼️
Hali ya elimu mashuleni inazidi kuzorota 🚮
How does CCM expect the children to learn anything in such terrible environment? This is supposedly a classroom 🤬
Hivi hamna huruma kabisa? Hamjusikii vibaya au aibu kuona watoto wanasoma kwa mazingira haya?
Kwa sasa mawaziri mmebaki kuwa machawa na waimba mapambio - please do your job!
Mwisho wa siku #CCMmustgo
Mmeishiwa ideas mmebaki kututawala kwa mabavu na quality of leadership yenu iko chini ya viwango!
#TutaelewanaTu
Video inaonyesha makombora mawili ya balistiki ya Iran, yaliyorushwa usiku kutoka vituo viwili tofauti nchini Iran, yakipiga shabaha 1 baharini mbele ya Tel Aviv.
Baadhi ya waangalizi wanasema makombora hayo yalipiga kisima cha gesi. Wengine wanasema, ni onyesho tu 👇
‼️ELECTION SEASON IN #TANZANIA BODE ILL FOR MEDIA‼️
In 2019, our online tv Kwanza TV was suspended on frivolous charges for 6 months - it was the govt’s plan to silence independent media during local elections! Five years later, same trick pulled out of the hat by CCM govt targeting largest English language digital platform
The reason they target online media is because despite their continuous dismissive attitude about social media - they know it is powerful
Gear up for more repression! I never understood why anyone thought @SuluhuSamia will be different from
Magufuli 🙄
Sept 2019 Oct 2024
‼️🚨MEDIA TANZANIA MJIANDAE🚨‼️
Rais de facto Waziri Rajab ameamua uchaguzi wa serikali za mitaa hawatoboi na vyombo vya habari huru! Na kama kawa Rais de jure @SuluhuSamia approves maana anachotaka ni madaraka - at whatever cost!
Hii mbinu ilitumika 2019 walipoifungia Kwanza TV mara ya kwanza September 2019 kwa miezi 6!
Sasa inaonekana wanaitafutia angle Jambo na Mwanahalisi! Wakae chonjo!
Mbinu za kutishia tushazoea - muda wa ku push back dhidi ya madhulmat ndo huu - ila mkiufyata mtatawaliwa kimabavu hadi 2026
Eniwei #TutaelewanaTu
Isaac Maliyamungu alikuwa na jeuri ya kuteka na kuua wapinzani wa Idd Amin na kuna wakati aliua mpaka mawaziri kwa sababu alipewa kiburi na Idd Amin aliyekuwa Rais wa Uganda. Sasa huku TZ mnadhani nani anampa kiburi Mafwele cha kuteka, kuua na kupoteza watu kama sio mama Abdul?
Chanzo kinadai kuwa 🇮🇷 Iran imefanya jaribio la nyuklia ☢️ muda mfupi uliopita, na kusababisha tetemeko la ardhi la ukubwa wa 4.6% katika kipimo cha Richter
JESHI LA POLISI LA TANZANIA NA UTEKAJI UNAOENDELEA.
Jumamosi tarehe 5/9 TLS waliandaa jukwaa la kuuliza "Wako wapi?". Hili jukwaa lilialika TAASISI mbali mbali wakiwemo jeshi la polisi Tanzania @tanpol
Muwakilishi wao alikuwa ni KAMANDA wa kanda maalumu J4 Mulilo. Na katika mahojiano aliyofanyiwa mbele ya mawakili wasomi yakiongozwa na mtangazaji ODEMBA, J4 alisema mambo mawili makubwa ya UONGO kuhusu SATIVA.
1. Jeshi la polisi ndio waliomuokoa SATIVA.
2. Mimi Sativa nilisema toka siku ya kwanza kuwa nilitekwa Na WASHKAJI.
🔨Kuhusu kuokolewa nyie watanzania ni mashahidi, historia yangu ipo mitandaoni hasa youtube kupitia chombo cha habari cha JAMBO TV ambayo niliongea yote tarehe 7/8.
🔨Nilisema lilisimama gari la Abiria ambalo ni Eicher. Walishuka dereva na kondakta, ambao walijaribu kupigia simu TANAPA waje kunisaidia ila kwakuwa tulikuwa kati kati ya msitu hapakuwa na Nertwork kbisa.
🔨lilikuja gari la Mkurugenzi ambalo lilikuwa linapita zake, wananchi wanalisimamisha akasimama, yule mkurugenzi aliishia kunihoji maswali huku akinirekodi video kisha akaondoka na kukataa kabisa kunipa msada kwenye gari lake. Wananchi wakaanza kumtukana "tunalipa kodi afu hautaki kumsidia mtanzania mwenzetu anakufa hapa".
🔨Hivyo akaombwa Mtanzania mwengine aliekuwa na gari aina ya Pick up ambayo nilibebww nyuma kwenye uwazi ambalo ndio lilinipeleka moja kwa moja kituo cha polisi "KIBAONI" ambao waliniandikia PF3.
🔨Baada ya hapo nikapelekwa kituo cha Zahanati Kibaoni ambacho hapo mbali na kituo cha polisi. Kisha nikapewa Mabulance iliyonipeleka kituo cha wilaya ya Mpimbwe. Ambapo hapo ndio nilipatiwa matibabu ya AWALI.
🔨Pesa za Hospitali ya Wilaya walilipa WATANZANIA, waliojichanga kutokea mtandao wa X. Risiti zipo rekodi zipo.
🔨MULILO anasema wao ndio waliniokoa. Swali, waliponiokoa walinipeleka wapi? Walinifanyia matibabu kituo gani cha Afya? Wamefikia wapi kwenye maelezo niliyowapa? Alipohojiwa na KIKEKE tarehe 13/8 alisema mimi sitoi USHIRIKIANO, juzi anasema walinihoji. Anataka ushirikiano upi?
🛠️hoja nyingine anasema mimi nilitekwa na WASHKAJI. Hili wote tumempuuza na ndiomaan alipoleta hii hoja mbele ya MAWAKILI WALIMZOMEA. Clip yangu niliyofanya na "Nipashe" tarehe 27/6 masaa kdhaa baada ya kutoka kupatikana, nikiwa na maumivu makali sana.
🔨Nilisema wazi nilitekwa nikapelekwa kituo cha poisi O'bey. Na kisha Asubuhi ya jumatatu nikaja kuchukuliwa na WASHAKAJI niliokuwa nao kwa siku zote 4.
🔨SWALI 1. hao washkaji mmefikia wapi kuwakamata. Neno washkaji lisitake kutumika kama kichaka. Mimi ni BORN town hayo majina ya washkaji ni majina yetu kuitana vijana kama nyie mnavyoitana Makamanda afu mnatabia za Kike.
🔨 2. Mimi namiliki kundi la Washkaji wanaoweza kumpeleka mtu akalala kituo cha polisi O'bey na asubuhi akaja kuchukuliwa na watu wakanizungusha zaidi ya KM 1000 huku gari ikiwa haina plate number ya usajili wa Tanzania na ikiwa inakimbia zaidi ya Speed 120-140 huku isisimamishwe kituo chochote cha Chek point?
Haya yote JESHI LA POLISI wanafanya kumkingia kifua "KILLING MACHINE" niliemtaja kwa muda sasa Ambae ndie ZCO wa Dar bwana FAUSTINE MAFWELE. Huyu anaogopeka mpaka na IGP.
Huyu ni hagusiki hapo jeshi la polisi. Huyu ndie anamiliki genge la Watekaji na kuuwa watu. Huyu ndie anaeamuru hapa dar nani aishi nani afe leo. Kazi yake kubwa ni Kuuwa.
MULILO script ya juzi hakuishika vizuri ndiomaana alipohojiwa na Odemba aliishia KUTOA macho akihisi watamuogopa.
SATIVA17🫡