@NyandaAmosi Kwani wewe unayelaumu ulitoka? mmeishia tu kuleta hadaa humu mtandani et kalamu Ina nguvu kuliko upanga kwamba mlikuanahamasisha kupitia post๐ hii nchi watu ni wabinafsi sana mnataka wengine ndio wahatarishe maisha kwaniaba yenu ila Nyie aaahh๐
@rollymsouth Hapo kwenye kugomea uchaguzi ni biashara ya wachache chadema na muunga mkono 100% mradi wa no reform no election unawaingizia watu mamilioni huku wengine wakidanganywa et ni harakati hii nchi hii ๐
@godbless_lema Mlitegemea mchukue Chama kihuni vile halafu patulie tuliwaonya jamani hizi kampeni baada ya uchaguzi chadema will never be the same again hamkusikia, ndio kwanza ukaandaa na kitabu Cha behind the....๐ Leo Chama kinasambaratika mnato milio na kujifariji๐
@earadiofm@SamsonChazz Mimi nimezunguka mikoa mingi hapa Tanzania ila sijawahi kuona mkoa unatisha Kwa radi kama kigoma ๐๐ kule ni mwisho wa maelezo ๐
@Advocate_Jebra Halafu wewe ulipoitwa wakili kibaka ulitoa milio ya Kila aina jaribuni kufanya mambo ambayo mkifanyiwa mnaweza kuvumilia ninyi mnadhalilisha wenzenu mkidhalilishwa ninyi ni milio๐
@martinAbdul14@HecheJohn Siwezi kushawishi wasioelewa siasa na michezo yake ila Kwa wanoielewa wanajua kabisa no reform no election ni mradi wa watu kupiga hela
@hancymachemba Kiongozi mmoja alipowaita wanaokosoa maendeleo wanatumwa na mabeberu mlimsema sana kuwa hataki kukosolewa Leo nyie mnaopishana nao mawazo mnawaita matapeli awee๐ democracy kweli ni rahisi kuisema kuliko kuiishi na huwa ni rahisi kukosoa ila sio rahisi kukubali kukosolewa
@godbless_lema Hivi mbona mnapenda kujifariji badala ya kukubali uhalisia ๐ kundoka Kwa wanachama kwenye chama ni pigo sababu Kuna watu nyuma yao wanawaamini kuondoka kwao kunawafanya waliowaamini na wao wakose Imani na siasa na Chama husika, mangi acheni kujifariji Chama kijitafakari
@KumbushoDawson Mna mengi ya kujifunza Kwa CCM, Nchimbi alikuwa timu Lowasa na alitamka hadharani ila Uongozi mpya ulipoimgia ulizika tofauti wakampa na ubalozi nyie Sasa ni huzuni wanaopinga ni wasaliti na mnawapa vijembe Kila siku kwann msiwasikilize na mkawajibu ili anayezingua akaonekana