Samia huyu mtoto alikukosea nini mpaka ukaamulu auawe pamoja na watanzania zaidi ya 10,000 hapo Oct 29 2025? Amini amini nakwambia wewe samia,kwa hizi mauaji utalipa ,sio hapa duniani pekee,mbali kstika pia moto wa milele,uondoka magogoni kabla ya 7 7.
Gerson Msigwa: Mwenye ushahidi wa kiongozi aliyefanya matumizi mabaya ya fedha za umma aufikishe kwenye vyombo vya sheria, hatua zitachukuliwa
HIVI MSIGWA UNATUCHUKULIA MAZUZU?
CAG kataja wangapi @MsigwaGerson ??
Siku nzima ya leo magari mawili ya polisi na polisi wakiwa wameziba nyuso zao na silaha kubwa kubwa, wamenifuatilia tangu nikiwa Urambo kwa kupokezana mpaka nafika Kigoma.. njiani nimesimama mara mbili kuwauliza shida yao ni nini kwangu hawakuwa na majibu ya maana.
Nimefika hapa Kigoma kila ninakopita na hapa Hotelin kwangu wamejaa maafisa wakiwa na nguo za Kiraia..
Mimi ni Mwanasiasa wa upinzani ninaetimiza wajibu wangu wa kikatiba… Chama chetu ni chama cha siasa ambacho kimesajiliwa na chenye haki zote katika Nchi hii.
Nimepokea taarifa nyingi kwa watu wema wakitaka niwe makini, wengine wanasema mimi na familia yangu tumetolewa maelekezo mabaya.
Nitatimiza wajibu wangu bila uoga wala hofu, hakuna mtu anaweza kuniondoa kwenye haki na wajibu wa kutetea Nchi yangu na watu wetu.
Ninawashauri watawala dhalimu kuacha kucheza na utulivu huu uliopo . Hofu haijawahi kuzaa amani, hofu huzaa hofu zaidi.
Hakuna siku nitakimbia Nchi yangu.
TUNA WAJIBU WA KUKATAA KUTII MAAGIZO HARAMU.
UWE Kiongozi , Askari au Mwananchi wajibu wako Mkubwa ni kulinda Sheria na Katiba ya Nchi.Hiki ndicho kiapo Kikuu cha kizalendo.
Wajibu mkuu na wa Msingi ni kukataa kutii agizo lolote linalokiuka sheria na Katiba ya Nchi hata ikilazimu Mbingu kudondoka Haki lazima itamalaki.
BAK MWABUKUSI.
Leo 27.6.2026 nitimiza miaka miwili tangu niokotwe kwenye MBUGA YA KATAVI nikiwa na Majeraha ya KUPIGWA RISASI YA KICHWA baada ya KUTEKWA na jeshi la polisi @tanpol 23.06.2024
F1 : huu ndio muonekano wa mahali nilipopatikana ndani ya MBUGA YA KATAVI, eneo hilo ni BOMA la simba, nilikaa hapo nikiwa navuja DAMU kwa zaidi ya dakika 5 mpaka nilipopata msaada wa kibinadamu.
MUNGU akinipa maisha marefu hili eneo nitakuja kulitembelea kama sehemu ya kuutukuza ukuu wake kwa UKUU alionitendea kwenye maisha yangu na familia yangu.
F2 : Hapo nikiwa na majeraha ya kupigwa RISASI YA KICHWA na kwa mara ya kwanza kuonekana tena mbele ya macho ya watu, baada ya kutafutwa kwa siku 4. Uso ulivimba na kujawa damu kwasababu ya majeraha ya kupigwa RISASI YA KICHWA na watekaji (JESHI LA POLISI TANZANIA).
F3 : Hilo eneo ni mto wenye MAMBA NA VIBOKO na hao ni MAMBA ndio walitakiwa kuula mwili wangu baada ya kupigwa RISASI YA KICHWA. MUNGU aliwafunga vinywa hao MAMBA NA VIBOKO nikatoka eneo hili nikiwa salama mpaka pale F1 kupata msaada wa kibinadamu.
F4 : Baada ya kupata huduma ya kwanza hospitali ya WILAYA MPIMBWE nilipelekwa hospitali kubwa ya rufaa MPANDA na hapo ni baada ya kupokelewa saa mbili usiku nikiwa nimeshonwa ENEO AMBALO RISASI ILIPITA KICHWANI.
Haya yote yalifanyika kwangu tarehe hii ni neema tuu, wapo ndugu zetu wengi wanatekwa na hawapatikani, mimi ilikuwa ni neema namshukuru MUNGU.
Haya hayatakiwi kuwa maisha ya watanzania, MUNGU hakutuleta duniani ili tuishi kisha tupotezwe na ndugu wabaki na maswali ya milele tupo wapi? na mwisho waishie kuzika NGUO zetu.
Nitaendelea kusimama mstari wa mbele kukataa UTEKAJI NA KUKEMEA UTEKAJI KWA LUGHA YEYOTE ILE ambayo mimi nitaona inafaa.
MWISHO NI KUWASHUKURU WATANZANIA WOTE HII SIKU ILIKUWA KAMA SIKU YA MSIBA—MLISIMAMA NA MIMI NA MMEENDELEA KUSIMAMA NA MIMI KUPIGANIA HAKI ZANGU KWA MIAKA YOTE HII MIWILI.
BADO SIJAPATA HAKI YEYOTE ILE ILA NAAMINI NITAIPATA—KAMA NILIVYOSHINDA KIFO KWENYE MBUGA YENYE WANYAMA WAKALI NA MTO WENYE MAMBA NA VIBOKO BAADA YA KUPIGWA RISASI YA KICHWA, BASI HAKI YANGU PIA INAKUJA NI SUALA LA MUDA TUU.
SATIVA (The Walking DEAD).
@Thommunkondya Ccm hubeba watu kwenye magari ya mchanga, mizigo, ng'ombe au magari ya taka kusafirisha wanachama wao, but chadema anachama hukodi gari na kutoa tonetone
Hii ni TUNDUMA wanangu.
Na hii ni nyomi ni baada ya MKURUGENZI kuleta UHUNI wake wa kuhamisha eneo la mkutano kutoka Tunduma MJINI na kuuhamishia 15KM nje ya mji.
Lakini UMBALI SIO ishu ya kuzuia watu kufuata IBADA YA HAKI. Asante sana CHADEMA kwa kuleta injiri kwenye mkoa wetu ambao tulipoteza ndugu zetu wengi sana kwenye maandamano ya MO29.
Asante wapenda haki wote mlioshiriki IBADA HII YA HAKI na poleni kwa USUMBUFU wa wakoloni weusi.
REPOST 200
#KatibampyaFreeTunduLissu
#FreeTunduLissu
Nilitaka niondoke leo lakini baada ya kusikia kuwa kuna ujio mzito hapa mjini TUNDUMA binafsi nafsi imekataa kabisa kuondoka uongo dhambi
Mapenzi yangu kwa Chadema ni ngumu kuyaficha nisiseme uongo
Leo Watu wa MBEYA wakishiriki IBADA YA HAKI.
DAMU za ndugu zetu walizomwaga MO29 tutaendelea kuzipigania mpaka HAKI ipatikane.
Chama pekee kinachoongoza mapambano haya na kulia pamoja na wanaolia ni CHADEMA.
Mbeya hatuwezi kuwasahau mashujaa wetu wa MO29 na hatutasahau kwamba DIKTETA JIKE SAMIA aliwauwa watanganyika kwa maelfu ili abaki ikulu.
Kama umeshiriki IBADA HII wanangu wa MBEYA MUNGU awabariki—tuendelee kuwa pamoja tupo mwishoni tunaelekea KUSHINDA.
#FreeTunduLissu
#KatibaMpyaFreeTunduLissu
REPOST 200
Imagine being us..!!
Hapo hakuna kusombelea watu kwenye maroli kama ng'ombe za mnadani.
Hawa ni wapenda HAKI walioamua kushiriki mkutano wa wapigania HAKI (IBADA).
Na baada ya IBADA takatifu ya HAKI, wameshiriki kutoa SADAKA (TONE TONE).
IGA UFE.
REPOST 200.