Tanganyika AMKA 🔥👊🏽
Vijana usiku huu wako bize wanasambaza vipeperushi kuamsha watanganyiks tupambane!
Kila mtu apambane anavyoweza! Hakuna kuwapa muda wa kupumua hawa wauaji mafedhuli!
Hadi tupate Haki 💪🏽🔥
#TutaelewanaTu#JusticeForMO29
"Unaita vyama vya brifcase unasema tunaweza kuendelea bila CHADEMA. Hivyo vyama si vilikuwa kwenye uchaguzi, Si vilisema uchaguzi ulikuwa huru na haki sasa vinaenda kuridhiana nao nini wakati wao walikubali kwamba uchaguzi ulikuwa huru na wa haki?"
M/Kiti CHADEMA @HecheJohn
Hi Watanzania, kwa sasa niko busy mnooo na jambo la msingi, very soon mtajua nilikuwa busy na kitu gani.
So kwa sasa I’m not focused kwa kudai haki huku kwenye social media, nipo busy napambana kiundani zaidi..:.:
Soon wote mtajua what was keeping me busy. And it will be great news to Tanzanians, GOD WILLING.
Katika Nchi ambayo uhusiano wa serikali na wananchi ni wa kikatiba.
Uhusiano wa Mwananchi kama muajiri na serikali kama muajiriwa huwezi kuona upuuzi kama huu.
Nchi hii wananachi wanachukuliwa kama watumwa na watawala kama watwana au wamiliki wa watumwa.
Nimeona utetezi wa jeshi la polisi kwenye upuuzi huu, inathibitisha kiwango cha dharau walichonacho hawa watu dhidi ya raia.
Mwananchi huyu masikini amelima alizeti imekaa shambani miezi minne, mbegu amenunua mwenyewe, pengine kwa jembe la mkono na mvua kidogo akavuna.
Hapo ilipo hiyo alizeti kuanzia mbegu imelipiwa kodi, akivuna tu kodi… huko anakopeleka kuna Mageti ya mazao kila kona..
Baada ya kuuza akinunua sukari kuna kodi , kiberiti, Sabuni na chumvi vyote kodi za kulipa askari huyo mshahara.
Hata kama huyo bwana amekosea:
Sheria gani inampa mamlaka askari kuchukua mzigo wake na kutupa mtaroni?
PGO namba ngapi inamwambia askari mtu akifanya kosa kama hilo unaharibu mali yake kwa kuirusha kwenye mtaro unaopitisha maji machafu tena mzigo wa chakula?
Kwanini usimkamate na kufuata utaratibu wa kisheria?
Kwa utetezi huu wa polisi kwa askari hao ni uthibitisho wa namna serikali hii ya kidkteta inavyowaona wananchi…
Haishangazi kama waliua mamia kwa maelfu ya watu na wanaona ni kawaida itakua kutupa mzigo mtaroni?
Watanzania mnapaswa kubadilika wale mnaofikiri hayawahusu kwasababu nyie sio huyo bwana, watawafikia kwa njia nyingine.
Kama alivyowahi kusema Martin Luther king kwa watu weusi kule Marekani.
“We must learn to live together as brothers or perish together as fools“
Lazima tujifunze kuishi pamoja kama ndugu, kwa kuteteana, kusaidia na kulindana au tuangamie pamoja kama wajinga.
TAARIFA YA RATIBA YA MIKUTANO YA HADHARA YA MAKAMU MWENYEKITI BARA MH. JOHN HECHE NDANI YA MKOA WA MARA
1. Tarehe : 6/8/2026- SIRARI.
2. Tarehe: 7/8/2026 -SHIRATI
3. Tarehe: 8/8/2026- MUSOMA MJINI.
#KATIBAMPYA#FREETUNDULISSU
Kwa Rais Wangu Tundu Antiphas Lissu,
Kuna nyakati adimu katika historia ya taifa ambapo mtu mmoja huamua kusimama katika njia ambayo wengi huogopa kuipita. Ni njia iliyojaa miiba, njia ya maumivu, njia ya kujitoa mhanga, na wakati mwingine njia ya upweke. Lakini ni njia inayochaguliwa si kwa kutafuta sifa, mali, au madaraka, bali kwa matumaini kwamba vizazi vijavyo vitaishi katika nchi yenye haki, uhuru, na utu zaidi.
Ulikutana uso kwa uso na kifo, ukapigwa risasi katika jaribio la kukatishwa maisha yako, lakini hukuruhusu maumivu na mateso yakuvunje moyo. Ulibeba majeraha ya mwili, miaka ya matibabu, na madhara ya kudumu, lakini uliendelea kusimama imara kwa ajili ya haki na misingi unayoamini.
Ulikuwa na uwezo wa kuchagua njia rahisi. Kwa elimu yako, uwezo wako, na uzoefu wako wa sheria, ungeweza kujijengea maisha ya heshima na utajiri popote duniani. Ungeweza kuchagua ukimya, starehe, na usalama binafsi. Lakini moyo wako ulichagua njia nyingine—njia ya kutetea kile unachoamini kuwa ni haki kwa nchi yako na kwa watu wake.
Ulichagua Tanzania kabla ya nafsi yako.
Ulichagua kanuni kabla ya manufaa binafsi.
Ulichagua ukweli kabla ya urahisi.
Historia ya dunia inatufundisha kwamba mabadiliko makubwa hayaji bila watu jasiri wanaokubali kubeba gharama yake. Nelson Mandela alitumia miaka mingi gerezani kabla ya kuona ndoto ya Afrika Kusini yenye demokrasia ikitimia. Historia ya kila taifa ina safari yake, lakini somo hubaki lilelile: uhuru, haki, na mageuzi ya kweli huhitaji uvumilivu, ujasiri, na watu wanaokataa kusaliti misingi yao.
Leo, hata wale ambao wanaweza kutokubaliana na baadhi ya misimamo yako ya kisiasa hawawezi kupuuza ukubwa wa sadaka uliyotoa. Maisha yako yamekuwa ushuhuda kwamba kuna watu ambao bado wanaamini kuwa nchi inaweza kuwa bora kuliko ilivyo leo.
Umetufundisha kwamba ujasiri si kutokuhisi hofu. Ujasiri ni kusimama imara wakati una sababu zote za kukata tamaa.
Umetia moyo kizazi cha Watanzania kuamini kwamba kudai haki, uwajibikaji, katiba yenye kulinda raia, na utawala wa kidemokrasia si ndoto ya mbali. Umeonyesha kwamba sauti ya mtu mmoja mwenye msimamo inaweza kuwasha mwanga wa matumaini kwa mamilioni ya watu.
Asante kwa kusimama wakati ilikuwa rahisi kukaa chini.
Asante kwa kuvumilia wakati ilikuwa rahisi kukata tamaa.
Asante kwa kutukumbusha kwamba heshima ya taifa haiwezi kujengwa kwa woga, bali kwa haki, ukweli, na ujasiri.
Tunakuombea nguvu na moyo wa kuendelea. Jua kwamba wengi wanakukumbuka, wanakuombea, na wanaamini kuwa sadaka zako hazijapotea bure.
Huenda safari bado haijafika mwisho, lakini historia tayari imeanza kuandika ukurasa wako. Siku moja, kizazi kijacho kitaangalia nyuma na kuuliza: Ni akina nani waliosimama wakati ilikuwa ngumu? Ni akina nani waliamini kuwa Tanzania inaweza kuwa bora zaidi?
Jina lako litakuwa sehemu ya majibu hayo.
Mchango wako, maumivu yako, na ujasiri wako havitasahaulika.
Ili maridhiano yafanyike yafuatayo lazima yatimizwe..
1. Nani alitoa Order ya Shoot to Kill
2. Maiti za ndugu zetu zipo wapi tukazike
3. Wafungwa wote wa kisiasa waachiwe bila masharti.
4. Waliohusika na mauaji wawajibishwa ( Raisi, CDF, IGP, DGIS)
5. Uchaguzi urudiwe
6. Katiba mpya
Baada ya haya ndio maridhiano......
Kwahiyo Nduli Idd Amin mama na vibaraka wake wanamuona @jacksonmnyawam2 ni GAIDI halafu tukiiambia Dunia kwamba Tanzani kuna MAGAIDI wanasema tunachafua nchi.🚮🚮🚮
Ila nyie watekaji mnachekesha sana! Leo mmebadili plate number katika kumwinda @HecheJohn mmeweka FAKE number 🚮
Nyie @tanpol ndo nimewapa taarifa 👇🏾 hii gari ilikuwa inaendelea kumfuatilia Heche na wanatumia fake plate number ila hakuwasimamishwa na maaskari wenu!
Sasa wakati mwingine kuweni na akili! #TutaelewanaTu
Nonexistent plate number, same Toyota Hard Top trailing Chadema Vice Chair Heche today! We continue to be vigilant
@WorldBankAfrica@IMFAfrica when you say you fund development in #Tanzania they buy these vehicles and use them for abductions! Stop bankrolling this murderous regime!
#SamiaMustGo
Please take a moment from your day today to pray for Hon. @TunduALissu. May he be granted strength, protection, good health, and the courage to continue standing for justice and democracy.
Tafadhali chukua muda katika siku yako ya leo kumuombea Mheshimiwa @TunduALissu. Mwenyezi Mungu amjalie nguvu, ulinzi, afya njema, na ujasiri wa kuendelea kusimama kwa ajili ya haki na demokrasia.
Leo nimefika mahakama ya hakimu mkazi Shinyanga kuhudhuria kesi ya katibu wetu wa Kanda ya Serengeti @mnyawami_official pamoja na viongozi na wanachama wetu 17.
Hawa ni miongoni mwa viongozi na wanachama wetu 64 ambao wamefunguliwa kesi za uongo za ugaidi.
Wanaoleta porojo za uongo kuhusu kinachoitwa maridhiano hawajui maumivu watu wetu wanayopitia.
Viongozi wetu wanapitia maumivu katika kutaka Nchi yetu iwe ya haki na usawa.
Tutashinda msiogope.
Endelea kuchangia chama.
CHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Tumia Email Hii Kuwajulisha CAF kuhusu tishio la Ugaidi Tanzania
Ndugu zangu Watanzania, kutokana na magaidi kadhaa ya CHADEMA kuendelea kukamatwa, nivema tuwajulishe CAF kuwa Tanzania si nchi salama tena kwa maandalizi ya AFCON.
Magaidi ya CHADEMA yanaweza kulipua timu zitakazokuja na wageni wengine waalikwa.
Tumia Email hii kuwaandikia CAF, attach ushahidi wa yale magaidi ya CHADEMA yaliyokamatwa pamoja na lile lihaini.
[email protected]
Nakala:
[email protected]
Watanzania tuko vizuri kwenye kudai haki, Tafadhali tusikubali kutolewa kwenye focus ya kubadilisha maisha yetu na nchi yetu kwa ku trendisha upuuzi wa wasanii.
Watu maarufu ndio wamekuwa kikwazo cha Watanzania ku focus kudai haki sababu ya ujinga wetu Watanzania, tena Watanzania maskini ndio tunao trendisha huu upuuzi