DALILI KUBWA 20 ZA MTU KUWA NA UCHAWI MWILINI
Watu wengi wamekuwa wakirudishwa nyuma kimaisha na kujikuta wakiangukia pua bila kujua chanzo nini. Wachawi wana mbinu kali hasa wanapotaka kutekeleza jambo lao. Nimekuwekea dalili za kufahamu kama una uchawi mwilini mwako.
✅Kuota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa.
✅Kujikuta umechanjwa chale au mikwaruzo mwilini.
✅Kuamka asubuhi na mwili kuchoka sana kama ulofanya kazi nzito ikiwa kulala ni kuondoa machovu
✅Kuhisi vitu vinatembea mwilini kama siafu au joto lisilo la kawaida sehemu ya viungo.
✅Macho kushindwa kuona darasani au ofisini lakini ukiwa nje unakuwa sawa.
✅Kupiga mihayo mingi mara kwa mara bila usingizi au njaa.
✅Kuhisi kuna mtu amekusimamia au anakufuata nyuma na ukigeuka huoni mtu huyo.
✅Kuingia kwenye hedhi bila mpangilio na kwa shida,au kutopata kabisaa.
✅Kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama.
Kukata tamaa ya maisha na kuona kila kitu hakiwezekani.
✅Kuota uko makaburini, msituni, chooni au bafuni mara kwa mara.
✅Kusinzia sana wakati mwingine kusinzia kazini na kushindwa kazi.
✅Uume kurudi ndani na kuwa mdogo kama wa mtoto au bamia na hali ilikuwa na urefu wa wakawaida.
✅Kuzama kwenye matatizo ya kimaisha na mikosi inakuwa kama ndio sehemu ya maisha yako.
✅Kusinzia wakati wa ibada na kwenye hotuba za dini zenye kuamrisha mema na kukataza mabaya.
✅Bosi na watu muhimu kukuchukia bila sababu hata kama ni mchapakazi hodari.
✅Kupenda anasa za Dunia kama vile kuzini, kulewa mpaka kufikia hatua shetani anakuwa anakuendesha anavyotaka.
✅Matiti kurudi ndani kwa mwanamke ghafla.
✅Kumchukia mke au mme na kumuona ana sura kama ya mbwa au mbaya na wakati mwingine wanamuona mzuri sana.
✅Choo kinakuwa kigumu hata kama unakula matunda na unajisaidia kinyesi kama cha mbuzi kwa tabu na muda wote.
✅Hizo ni baadhi ya dalili kuu za kufanyiwa uchawi au kuwa na majini wanaokusumbua kichawi.
Apps 8 za Kuangalia Mpira LIVE Bila KUTUMIA Bando Kubwa
Unataka kuangalia mechi bila kukomaa na vifurushi? Basi hizi hapa apps za kukupa raha ya mpira bila stress.
Open short Thread 🧵 ⬇️
AINA ZA MAJINI NA NGUVU ZAO
Majini mi jina maarufu la viumbe wenye asili ya kiarabu na kiajemi. Kulingana na Quran majini ni viumbe walioumbwa na mwenyezi Mungu kwa moto usio na moshi.
Ingawa majini yametajwa kwenye Quran karibu mara 26 lakini 2alikuwepo kwenye hadithi za mashariki ya kati hata kabla ya kushushwa kwa Qurani.
Majini kama walivyo binadamu kuna wazungu waafrika na wengine nao wanaaina zao
THREAD 🧵
Msafara wa raisi wa Marekani🇺🇸 (USA President convoy) wanatumia Cadillac Escalade na chevrolet wala sio Toyota Land Cruiser V8 new model ?
Leo nataka tuizungumzie Cadillac Escalade
Ziara isiyosahaulika ya Papa Francis katika Falme za Kiarabu.
Ilikuwa ni Februari ya mwaka 2019, jua likiwa linachoma kama kawaida kwenye jangwa la Abu Dhabi.
Lakini siku hiyo haikuwa kama nyingine.
Historia ilikuwa inakaribia kuandikwa, milango ya hofu ikikaribia kufunguliwa, na milango ya matumaini ikitandazwa polepole.
Watu walikusanyika Waislamu, Wakristo, waumini wa dini tofauti wote wakiwa na jambo moja akilini, Papa Francis anawasili.
Kwa macho ya wengi, hii ilikuwa ndoto isiyowezekana.
Kwa zaidi ya miaka 1,400 ya historia ya Uislamu, hakuna kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki aliyewahi kuingia katika ardhi ya Umoja wa Falme za Kiarabu.
Lakini mwaka huo, ndoto hiyo iligeuka kuwa ukweli na si ukweli tu, bali tukio lililobeba ujumbe mzito wa maelewano ya dini na mshikamano wa binadamu.
Papa Francis hakwenda tu kama kiongozi wa Wakristo, bali kama sauti ya upendo na amani kwa dunia nzima.
Alipowasili kwenye ardhi hiyo ya dhahabu na mafuta, alilakiwa kwa heshima ya kifalme.
CHRISTIAN BELLA SHUJAA WA KONGO ALIYENYIMWA URAIA TANZANIA.
-
Miaka kadhaa nyuma mtaa ulikuwa unalia miwa ya Christian Bella Obama, ikafika kipindi watu wakasahau kuwa jamaa ni Mkongo ama ni msanii wa Band kwani alikuwa Anaenda sambamba na waimbaji wa Bongo Fleva, hadi tuzo alikuwa anachuana nao.
Ikafika kipindi wasanii wa Bongo waliona thamani na ukali wake wakawa wanamuweka kwenye ngoma zao hapa sio waimbaji tu ikafika muda hadi wasanii wa hiphop waliamini jamaa sauti yake itapendeza sana Ikiwa kwenye ngoma zao.
Endelea na uzi 🧵⤵️
TUKIO LA KUSHTUA, MFAHAMU MOHAMED AMRA Mei 2024🧵🪡..
Mfanyabiashara hatari wa dawa za kulevya, Mohamed Amra maarufu kama “La Mouche” (Inzi), alitoroka akiwa chini ya ulinzi mkali, baada ya genge lake kuvamia gari la magereza nchini Ufaransa.
[Fuatilia simulizi kamili hapa]
[Thread]👇👇
Inawezekana hua unajiuliza kwanini labda wachawi/waganga hua wanaweza kumpa utajiri mtu, lakini wao wanabaki kwenye umaskini wa hali ya juu huku wateja wao wakineemeka na mali zao.
Hawa watu hua ni smart sana kichwani na kiroho ,wanajua jinsi gani ulimwengu wa roho na huu tuishio usiwachukulie poa kabisa.
Kwanza ni wazuri wa kucheza na saikolojia za wagonjwa wao, ndio maana anaweza kukupatia dawa ya kutatua shida Fulani, ukaitumia ukapona ukadhani labda ile dawa ndio imekupunya kumbe sivyo.
Mfano unaweza kuumwa tatizo Fulani labda figo akakupa dawa ukatumia kisha ukapona.
Ila kilicho behind the curtain ni kwamba wao wanafahamu kwamba, kila kitu kinachofanyika kwenye ulimwengu tunaoishi kinaanzia katika ulimwengu wa roho.
Na wanajua kwamba roho kama power house ya mwili ina uwezo (Psychic power) wa kutenda (manifest) lolote katika ulimwengu wa mwili/mazingira.
Wanachofanya ni Reorientation of the spirit to better heal the body, kwamba unaweza kua na tatizo Fulani mwilini ukaukonvisi mwili wako.
Marvel Universe ni wachawi wa kisasa.
Karibu tena kwenye safari ya kufungua macho ya kiroho.
Tulishaingia kwenye muziki, tukakutana na alama zilizojificha, michoro ya siri, na mialiko ya kisaikolojia ndani ya beat.
Lakini sasa tunaingia katika ulimwengu mwingine ambao umefungua akili za watu wengi zaidi duniani, Marvel Cinematic Universe.
Kama ulikuwa unafikiri Marvel ni tu kuhusu mapigano ya mashujaa, basi kaa tayari kushangaa.
Kwa sababu ndani ya kila mchezaji wa Marvel, kuna ujumbe.
Na ndani ya kila filamu yao, kuna alama. Hebu twende pole pole, kama mtu anayetembea gizani na taa ya mshumaa mkononi.