Ulikuwa mwanasiasa mkweli na mwaminifu. Tulikupenda na kukulinda, gafla mchana ukawa kwetu na usiku kwa adui zetu
Nilipojitolea kukupinga kwenye uenyekiti wa kanda nilikuwa nina uhakika ulikuwa umesha hasi wito wetu wa kuishi kwa ajili ya wengine. Kwa heri Wenje. Kwaheri Brother