Thank you so much.
You will never know how much this means to the people of Tanzania as we continue our journey toward accountability, justice, and meaningful reform.
Your support gives hope to countless Tanzanians.
A powerful finding in the U.S. Senate’s Tanzania bill:
“The Tanzanian Police and Tanzania Defense Forces killed hundreds of Tanzanian citizens” during protests against the “fraudulent and illegitimate” October 29, 2025 election.
Those are the findings of a U.S. Senate bill—not activists.
Thank you, Senators @SenatorShaheen and @SenTedCruz.
#SamiaMustGo #TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu
UNAPOSHINDWA KUJISIMAMIA, KUTII SHERIA NA KUWALINDA RAIA WAKO, JUMUIYA YA KIMATAIFA NA MAJIRANI WANA WAJIBU WA KIUTU WA KUKUKUMBUSHA NA KUKUTAKA UFANYE HIVYO.
Matukio ya Oktoba 29, 2025 yalikuwa mauaji ya kinyama, ya kifashisti na shambulio kubwa dhidi ya raia wengi wasio na hatia. Huu ni ukweli ambao historia itaendelea kuubeba, na hakuna propaganda wala upotoshaji unaoweza kuufuta.
Kinachosikitisha zaidi ni kwamba badala ya kutafakari kwa kina, kukubali makosa yaliyotokea na kutafuta njia ya haki ya kuponya taifa, baadhi yetu tunaendelea kuzunguka kwenye propaganda za kijinga na simulizi za kujidanganya.
Kama alivyotuasa Bob Marley:
“You can fool some people sometimes, but you can't fool all the people all the time.”
Ukweli unaweza kucheleweshwa, lakini hauwezi kuzimwa milele.
Tusipojirekebisha, tusipojiwajibisha, na tusipojenga misingi ya haki, ukweli na uwajibikaji, tutadhibitiwa na mazingira tuliyoyatengeneza wenyewe.
Tuwaunge Mkono Shaheen na Wenzake wote wenye mapenzi mema na Taifa hili na wanaotaka uwajibikaji.
Njia pekee ya kulikwamua Taifa kutoka katika mkwamo huu si propaganda, si vitisho, wala si kuficha ukweli. Njia pekee ni HAKI, UKWELI na UWAJIBIKAJI.
Bila hayo, hakutakuwa na maridhiano ya kweli.
Bila hayo, hakutakuwa na amani ya kudumu.
Bila hayo, hakutakuwa na Taifa lenye umoja na heshima.
Tusipojidhibiti, tutadhibitiwa. Historia imethibitisha hilo mara nyingi.
BAK MWABUKUSI.
Leo ni siku njema kwa Watanzania.
@SenTedCruz@SenatorShaheen@SFRCdems@SenateForeign
Thank you so much for continuing to stand with the people of Tanzania.
The illegitimate government of Tanzania is trying to persuade America to look the other way by offering business deals. We are grateful that America is choosing to stand on the right side of history instead.
Watanzania Wamarekani bado wanasimama nyuma yetu ili tupate accountability ya mauaji ya October 29 ila ni lazma sisi wenyewe tuendelee kupambana on the ground. No one is coming to save us, we have to save ourselves. Lazma tuipiganie nchi yetu mpaka ipate haki.
Nikiona hivi kwenye trending zangu napata amani ya roho.
@SuluhuSamia Wale mabot wako wa Kenya hukuwastua leo washambulie hii???? October 29 utahangaika nayo mpaka unaingia kaburini.
Aisee hawa VIBAKA hawachomoki round hii wanangu.
Kwa mauaji waliyofana, kwa UTEKAJI waliofanya, kwa ukandamizaji wa DEMOKRASIA waliofanya hakika hii adhabu wanastahili.
KAMATI YA MAMBO YA NJE YA SENATE YAPITISHA MUSWADA KUHUSU TANZANIA.
Sasa rasmi inaenda kupigiwa kura na bunge la senate kuelekea kuifanya sheria rasmi.
Kumbukeni muswada huu umependekezwa na wazito wa vyama vyote viwili vikuu vya siasa (MAREKANI) yaani Democrat na Republican ambao ni @SenatorShaheen@SenTedCruz .
Siasa za wenzetu hazina kona kona - katika suala hili wamesimama pamoja kwahiyo hata katika kikao cha pamoja cha Senate muswada huu utasimamiwa na wahusika hawa kuhakikisha inapita!
KOMBOO haya yanafanyika Mbele ya macho yake—moja haikai mbili haikai. Kaenda Marekani kujaribu kuzuia hii isipitishwe ila ndio ishapitishwa na sasa inaenda kupigiwa kura.
Mpaka hapa CHUPI CHINI WAKOLONI WEUSI tulieni mletewe PAIPU NZIMA NZIMA MAMAE.
Mwaga moto mwingi kama MADRAGO TUONDOKEEE🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Repost 500
MAANDIKO YANASEMA...TUTAWAGUNDUA KWA VINYWA NA MATENDO YAO.
Natamani iwe kama Usajili ili tusajili Wabunge hawa wawe ndani ya Bunge letu na taasisi zenye dhamana ya kulinda Utu na Uhai wetu. Taifa letu lilisifika kama nchi ya Mstari wa Mbele katika ukombozi wa Afrika tukihubiri haki na uhuru wa Kujitawala.
Ni huzuni sana kwamba kwasasa Taifa letu limepoteza tunu zote na tunawekeza katika Chuki,Ulaghai,vitisho na kutowajibika.
Hapa Bunge la Ulaya limechukua jukumu la vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni aibu lakini ni bora na hakuna ubaya Baba wa jirani anapoingilia kunusuru familia iliyotelekezwa na Baba asiye jali.
Rafiki wa kweli ni yule akufaaye wakati wa dhiki.Hawa ni Marafiki haswa wa demokrasia na Utawala bora.
Tumechelewa sana ila muda bado upo Tujisahihishe kwa kufanya linalohitajika.
UKWELI,HAKI NA UWAJIBIKAJI ndiyo njia ya kweli na Sahihi ya kuliponya Taifa.
BAK Mwabukusi.
ADVOCATE.
Mkutano Mkuu wa 87 wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) [87th Plenary Assembly - Study Session] unaendelea katika ukumbi wa Amecea uliopo ndani ya Makao Makuu ya Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini DSM.
Mkutano huo unaongozwa na Rais wa TEC, Mhashamu Baba Askofu Wolfgang Pisa, OFMcap, na umehudhuriwa na Maaskofu wote wa Kanisa Katoliki Tanzania, Wakuu wa Taasisi za Kanisa, Wakuu wa Mashirika na Mama Wakuu wa Mashirika ya Kitawa.
Mada kuu katika mkutano huo ni: Haki za Rasilimali Tanzania. Mada hiyo inatokana na waraka uliotolewa na Baba Mtakatifu Leo XIV kwa Kanisa. Kwa lugha rahisi ni kwamba sehemu ya watu walioelimika zaidi nchini (think tank ya nchi) wamejifungia Kurasini kujadili kuhusu Haki za rasilimali zetu.
Sasa subiria waje na tamko halafu usikilizie "wanyonyaji" wa hizo rasilimali watakavyotoa milio. Roma Locuta causa finita est.!
Homa ya MAANDAMANO ya 7/7 inazidi kupanda.
Watanzania wanataka kumaliza MISIBA ya wapendwa wao—wanataka wapewe miili ya ndugu zao waliouliwa kikatili #MO29
Hii nchi haitakuja kutulia mpaka watanzania wazike wapendwa wao. #77Tunatoka
REPOST 200
"Human rights violations, wherever they occur, are intolerable and must be condemned in the strongest possible terms.
Injustice does not cease to be injustice simply because it occurs beyond our borders or far from our sight. Human rights are universal, inalienable, and non-negotiable; every violation constitutes a grave affront to human dignity and the rule of law, demanding unequivocal condemnation, accountability, and redress.
In this regard, we unequivocally denounce the ongoing human rights violations and any acts that undermine the rule of law, fundamental freedoms, and the independence of the legal profession in Uganda.
We stand in firm solidarity with the members of the Uganda Law Society and all those courageously defending justice, constitutionalism, and human rights.
Their struggle for the protection of fundamental rights and the preservation of democratic values is a cause that transcends national borders and deserves the support of all who believe in justice, accountability, and the rule of law.
BAK MWABUKUSI
PRESIDENT
TLS.
Kumuweka kizuizini Tundu Lissu hakumaanishi kwamba umeweka kizuizini fikra zake.
Unaweza kumzuia kuzungumza kwenye majukwaa ya kisiasa, lakini huwezi kuzifunga hoja zake katika akili za Watanzania. Unaweza kumfungia gerezani, lakini huwezi kuyafungia maswali aliyoyaibua kuhusu haki, demokrasia, uchaguzi, uwajibikaji wa serikali na mustakabali wa taifa.
Kwa zaidi ya mwaka mmoja tangu kukamatwa kwake Aprili 2025, Lissu ameendelea kuwa kizuizini akikabiliwa na mashtaka ya uhaini, huku kesi yake ikikumbwa na hatua mbalimbali za kisheria na kuahirishwa mara kadhaa.
Lakini historia ya siasa duniani inaonyesha kuwa mawazo hayawekwi pingu. Mara nyingi, kadiri mtu anavyozuiwa, ndivyo wananchi wengi zaidi wanavyoanza kujiuliza maswali yale yale aliyokuwa akiuliza. Kadiri sauti inavyonyamazishwa, ndivyo hamu ya kujua kwa nini imezuiwa inavyoongezeka.
Ndiyo maana nguvu ya dola inaweza kuzuia mwili wa mtu, lakini si rahisi kuzuia ushawishi wa mawazo yake. Hoja zinaendelea kusafiri kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine; kutoka kwenye mikutano kwenda kwenye nyumba, makanisa, misikiti, vyuo, mabasi na mitandao ya kijamii.
Swali kubwa katika jamii ya kidemokrasia siyo kama mtu amefungwa au yuko huru. Swali kubwa ni kama hoja zake zimejibiwa. Kwa sababu hoja zisipojibiwa, zinaendelea kuishi hata pale mwenye kuziibua anapokuwa kizuizini.
Unaweza kumweka mtu gerezani, lakini huwezi kuifunga dhamiri ya taifa. Hoja, fikra na maswali huendelea kuishi ndani ya mioyo ya wananchi muda mrefu baada ya milango ya gereza kufungwa.
KWA WALE WOTE WASIOJUA:
Tume ya Jaji CHANDE, ILISHINDWA hata KUJUMLISHA TAKWIMU ili kupata IDADI SAHIHI ya WATU WALIOULIWA. Kwa hiyo, kuwa UPANDE wa Tume hiyo, ni KUTHIBITISHA UZEZETA usiokuwa na KIFANI 😂😂