@taxcollector_k Genz tukifiliria tutamtoa huyu jamaa Kwa kutumia Kura tunajidanganya.Kama tutagoma bila mpango hiyo ni tutam,huyu jamaa hawezi shutuliwa na maandamano jamaani tupangeni plan nyingine yenye inafanya kazi
@jaokojohnmark Munajua kwamba huyu jamaa hatuwezi kumtoa Kwa kiti kutumia kura, hebu naomba tutafute plan B.Yeye ako na gunz na sisi hatuna hata bullet proof,tafadhali naomba tutafute plan B,tusikubali kufa tena , let's have an intelligent plan...