Siku zote tunasikia kwamba tunapaswa kunywa maji mengi kila siku.
Lakini JE..! kwa nini...? Na Kwakiwango gani...?
Kwa kuanza, maji ni muhimu sana kwa afya yetu.
Maji yanasaidia kuondoa sumu mwilini, Mawe kwenye figo na kibofu cha mkojo.
Kusaidia mmeng’enyo wa chakula, na kuboresha afya ya ngozi,
Husaidia kuepuka presha ya kushuka na afya kwa ujumla.
Kwa hivyo, ni muhimu sana kunywa maji ya kutosha kulingana na uzito wako.
NAMNA YA KUFAHAMU KIASI SAHIHI CHA MAJI YA KUNYWA KWA SIKU.
Kiwango sahihi cha unywaji wa maji ni
Uzito wako gawa kwa 24.
Jibu linalopatikana hapo ni kiwango cha maji unachopaswa kunywa kwa lita.
NB: Usinywe maji mengi kwa wakati mmoja, Unahatarisha figo yako, Jitahidi kunywa maji kidogo kidogo.
JE...? Mpaka sasa umekunywa maji kiasi gani..??
@3ashou The problem isn't taking the first step,...the problem is where are you going to step up and how are you going to step up.......!my dear maisha ni fumbo kubwa sana 2ombe tu nusra ya Allah iwe pamoja nasi otherwise we won't make it.
Punguza kujielezea sana na kutia huruma mbele za watu.
Wengi hawajali hata kama wanakutia moyo, usiwaamini sana.
Matatizo hayaui yanakomaza. Iko siku utabadili matokeo.
#SIKU100ZAUHURU