Kumekua na kesi nyingi sana kuhusu swala la tochi na watu kusema wamebambikiwa.
Ila tujue kwanza kuhusu mzunguko wa tairi, hasa kwa wale waliobadilisha ganda na kuweka kubwa kwa lengo la kunyanyua gari juu kidogo, ila hawakuweza kujua madhara yake yapo hadi kwenye speed.