Nimetoka kuwatembelea wakazi wangu wapya (tausi) katika makazi yangu hapa Msoga. Wamefika salama na 'wanajisikia nyumbani'. Namshukuru Mheshimiwa Rais @MagufuliJP kwa zawadi yake hii kwangu.
Riyad Mahrez:
π£ "Nadhani ni wakati sahihi wa sisi kushinda Ligi ya Mabingwa. Tunayo timu, tunaye meneja, tuna kila kitu, kwa hivyo ni wakati mzuri sasa. "
Je, Man City inaweza kubeba ubingwa wa #UCL msimu huu? π / π