@Gaspinho15 kwahiyo wanaoamini Mungu wote wana ajira na maisha mazuri? na kwanini huyo Mungu anahitaji vitisho kujidhihirisha? mikosi na bahati ni sehemu ya nature it has nothing to do with God,nishashuhudia msikiti umepigwa radi,gari la kanisa limepata ajari ni nature sio Mungu
Wote uliowataja hapa walishaniblock na uafisa usalama wao wa kukaanga
Wana cyle ya kipumbavu sana sad enough wanaume hawana reasoning yule demu akisema kitu hata kama ni usenge wote wanafuata
Nimependa hii mzee baba👍