Kubwa kuliko ni kwamba ukiondolewa kinguvu bila Taarifa ukapoteza vitu vyako (mali zako zikashikiliwa/zikazuiliwa) au vikaharibika, HAKUNA FIDIA HATA THUMNI UTALIPWA. Cha kufanya ni hivi kabla ya IBILISI HAJAMPANDA KICHWANI Landlord we hama au lipa kodi mapema uepuke usumbufu tu.
JE! WAJUA KUWA MPANGAJI UKIKAZA FUVU, HUTAKI KUHAMA KWENYE PANGO UNAWEZA JIKUTA HATIANI KWA KOSA LA UVAMIZI??
Najua unashanga na kujiuliza 'mimi mpangaji nakuaje mvamizi tena? Au ndugu mwanasheria kashakula mlungula kwa faza house na madalali pasua kichwa.
SHUKA NAYO ✍️👇
Si uliwahi kusikia sheria ni msumeno eeh? sasa hapa ndo inakuwa Chainsaw kabisa hapo ndipo Sheria nayo inakugeuka, haina huruma nawe tena, utaondolewa kinguvu, huna haki ya kupewa hata Notisi wala Taarifa ya kuondoka.
Kubwa kuliko ni kwamba ukiondolewa kinguvu bila Taarifa...👇👇
@berryk_outfits Nimepitia uzi huu nimegundua wabongo hatuna utaratibu wa kuhoji na kujijuza zaidi juu ya elimu ya fedha especially bank accounts. Yaani wkt unafungua account customer service wanakujuza kila kituu. Ila huwaga tuko busy na kuchukuwa kadi ya ATM tu ikavimbishe wallet.
TUJIELIMISHE
@goligani Hapo shida yenu ni shule tu mlikuwa mnakula chaki wakati wenzenu wanasoma Tense na Grammar. Hayo maneno yote yako sawa kimuundo na mpangilio, na yote yana mantiki inayofanana tofauti yake ni ufafanuzi tu wa kimuktadha (Semantically contextual elaborations) 😅😅😅 njooni mniuwe