@_gerald001 heri ningekua huku I'm sure a shy guy, nilisema ati nigrow confidence in time lakini wapi, leo nimepatanaa na wasee flani walikua wanihojinsijui juu ya nini, lakini singestand mana ikabidi nifake call
Tukiwa form 1 kuna a certtain young female teacher alituangalia namna hii akaona hiyo class most of the young men there tulikuwa shy sana. So, aliamua kutusaidia kuboost confidence by making sure ameinterract na everyone at a personal level. Tukiwa lesson, alikuwa anakuuliza swali akiwa amesimama next to you na anamake sure amekupiga eye contact ukijibu na ukijaribu kuibreak ukiwa wa kwanza, unaona moto. Alafu siku ya kurudisha paper za exam, alikuwa anatuitia paper one by one then ukiingia kwa ofisi ya department unampata akiwa peke yake anaanza kukupiga interrogation.
Nobody dared sharing the contents of their discussion with Mwalimu but I remember one day nikiendea paper, aliwai niambia ati amenipea 3 minutes nimkatie adi aingie box yangu. Na juu nilikuwa mgeni kwa hiyo sector, mistari nilikuwa nayo iliisha ata before one minute iishe. Na yeye akanichocha ati ' You've tried, your classmates ata hawasemi anything juu ya kutetemeka.' Nakwambia iyo statement iliniskuma for the four years such that Kiswahili nilikuwa napata A kila wakati. Most of the young men thought mwalimu was 'seducing' them, but mwalimu was just helping them to become men. Nakwambia sahii nikipatana naye hivi, hawezi amini, mistari niko na mingi kuliko yenye iko kwa ile sharti Makenzie alipewa juzi.