@mayaijumla@ndoro_j@Betamosi01@GIVENALITY Nimefanya kazi na wachina kwa miaka zaidi ya kumu, ila hapa hatuzungumzii wachina tunazungumzia nguvu ya China, dunia sasa ni multi polar China balancing wa Magharibi hiyo ndo advantage iliyopo kwahiyo hata kama huwapendi wachina ila ukweli China now is superpower
@mayaijumla@ndoro_j@Betamosi01@GIVENALITY Dunia hii ni ya maslahi kila mtu anavutia kwake, kwani Marekani wapi kakaa akaleta cha maana. Barabara zetu, madaraja, biashara vyote vipi chini ya Mchina. Hata majengo yetu wanajenga wachina. Advantage ya sasa dunia ipo balance kati ya East na West so sie wadogo tunapakupumulia
@Betamosi01@GIVENALITY China is more powerful now and more so economically than USA, we are best positioned country US can't ignore us for geopolitical reasons that's why even their statement is very measured
@godbless_lema Lema afadhali umekuwa jasiri kusema ukweli, tumetengeneza jamii inayotaka kuskia kile tu wanachotaka au kuamini hata kama ni uongo. Hii sio siasa imekuwa ni cult kama MAGA mtu anataka kusikiliza kile tu cha kundi lake vinginevyo matusi naona leo unavyotukanwa
@AbuuMuslim5@kakaliuka@zittokabwe Acha upuuzi kwenye account za watu wewe humiliki dini usijitie utumie wala umalaika, huna copyright ya Quran kusema atumiaje
@tonyalfredk Sielewi ukisema wamekaa pembezoni wakati wao wanaendelea na taratibu zao za kiuchaguzi kwa kadri ya ratiba zao wala hawataraji matokeo ya CDM, Linda demokrasia imefanyika na inaendelea. Hii ya pembezoni wewe umetoa wapi?
@tonyalfredk Yes kaka cause you have judged them kuwa wamekosea kwenda njia waliyopita maana watapoteza kuaminika tena umewashutumu kuwa maamuzi yao ni based on some kind of relationship with Mkuu. Mie nadhani ungekuwa fair kama ungesema why they policy is fault not using inaonekana.
@tonyalfredk Sio kila kitu mpaka useme vinginevyo can observed, wewe kama mwanahabari ulipaswa kuwa impartial kwa policy za vyama tofauti ila kulazimisha msimamo wa CDM kuwa msimamo wa kila chama sio sawa.
@tonyalfredk Tony wapi umepima kuwa Watanzania wanataka siasa za vurugu tu? Wewe ni radical kama uongozi wa sasa wa CHADEMA ila sio kila mtu anaamini katika hayo acha kila chama na mtu kuwa huru wa kufanya wanachotaka raia ndo wataamua mbona mnataka kulazimisha msimamo wa CDM kuwa wataifa
@ThatBoyKhalifax@ChademaTz Khalifa ukisoma hiyo section 2 hapo inasema shall be subscribed a) by every political party means ni lazima kwa kila chama no option
@kajima85@zittokabwe Of course kama watashuka Uvira hakuna namna JWTZ kwa maslahi ya Tanzania italazimika kuhusika nafikiri hapo ni buffer zone ya usalama wa TZ, TZ haiwezi kusubiri mzigo utue nyumbani buffer zone ikiguswa wamegusa nchi uzuri M23 wanajua mipaka yao sidhani kama watavuka.
@ThatBoyKhalifax Hayo ndo yalikuwa malengo?Soka amaerejea?Kibao watesi wake wamepatikana?IGP na waziri vipi?wamefeli kwa kuangalia malengo ya mwanzo ila wamfeli zaidi kwa kuonesha hawana watu waliotayari kulinda wanachosimamia kwa gaharama yoyote. Nadhani ni muda sahihi wa kujitafakari.
@fatma_karume Shangazi ulimskiliza Bashe au umesoma heading tu nakuamua kumuhukumu. Nadhani tafuta ile clip umskilize sidhani kama haya mashambulizi ni kuhusu kauli yake labda kama kuna ziada.
@Chahali@ChademaTz@ACTwazalendo@SuluhuSamia I don't think so ACT are always measured on on their approach they have even deep concern with Mwinyi in ZNZ but never held they call him to go, Samia must first looks like copy of Kenya and again Nyerere said you can touch anyone and country remain safe but not president.