@lifeofmshaba Kura zilipigwa na hawa watendaji wa kata wakishirikiana na wasimamizi wakuu wa vituo ambao walikuwa makada wa kile chama cha let me switch to kiswahili
@millardayo Kwamba hao wafuasi walikuwa wanamsubiri?
Yani wapeleke watu wao hapo then wadai wafuasi wa @ChademaTZ2
Siasa za kitapeli kwamba tuko pamoja ilihali wamemshikilia LISSU mwaka mzima bila kosa
Tusibaguane ilihali wao wanatubagua kwa kuizuia @ChademaTZ2 kufanya mambo yake?