@Baradhuli2 Nchi hii Vijana wanaanza kuona haya mambo ya kuua au kuumiza watu ni kama kawaida ... CCM imetufikisha hapo...Kudhibiti kundi la aina hii mbele ya safari itakuja kuwa shida sana
@TanzaniaAnalyst Kwa zile ng'ombe zenu mnazosomba kwa malori ya kusombea mifugo au??mnapenda sana kujiamulia mambo ili kujipa furaha... CCM ni kama wapiga nyeto tu
@VitusNkuna@godbless_lema@MahinyilaD Ukiwa na intelligence nzuri na usalama wa TAIFA ulioko kwa maslahi ya nchi lazima uanze kuangalia namna ya kuwaaccomodate watu kama hawa maana nchi imevimba hii lakini kwa kuwa vice versa is true wanaignore kiu hii ya mabadiliko kwa kujifanya hawaioni na hawaisikii
Mkutano wa leo Karatu CDM tunaomba jeshi la zimamoto na uokoaji waje haraka na vifaa vya Oxygen. Watu ni wengi sana hewa inazidi kupingua kadri muda unavyosonga mbele tafadhari!!.
@joeselasini Haelewi tena hata anachotaka kusema anapopanda jukwaani... nadhani huyu hata familia yake inastahili kulaumiwa kwa kushindwa kumdhibiti na wamwambie CCM walikuwepo kina Mangula na Kinana, Malecela nk lakini hawakutaka kufikia hatua hizi za kujiongelea mambo yasiyokuwepo majukwaan
Nimeona jana MATALA kapasua BUYOBE na BUYOBE kaja na screenshot za DM za MATALA kipindi anaomba msaada wa matibabu.
Mimi miaka yangu yote hapa X nimeishi nikisaidiwa na washakaji na kusaidia washkaji wengi sana. Misaada niliyopewa kwangu haiwezi kuwa GEREZA LA MAWAZO yangu.
Siku ukileta UPUMBAVU hata kama ulinisaidia milioni KUMI we jua tuu umeyakanyaga na nitakupasua.
Eti kwasababu unasaidia watu DM ndio usigusike kwamba wewe nani? Hizo DM za kuombwa msaada hutumiwi pekeako. Wewe kama unayo nia ya kusaidia usigeuze misaada yako kuwa GEREZA la kufunga watu.
Huo ndio UKOLONI tunaopambana nao. Hata mm kama nimewahi kukusaidia na unaona nazingua we pasua tuu, mm hata sikumbuki kama nilikusaidia nasahau pale tunapomalizana DM.
MISAADA YENU MNAYOTUPA SIO MAGEREZA—BUYOBE JIHESHIMU.
Hii Chadema ya Lissu na Heche ilicheleweshwa sana kila kiongozi wa Chadema yeyote akiitisha mkutano wa hadhara wananchi wanajaa ile kauli ya Chadema niya Wachagga sijui Mbowe ndiye anafaa yeye tu kuwa mwenyekiti wengine watanunuliwa nayo imekufa