@safarimlevi hapana! aliyejenga hata kakibanda chake. huyo tayari amepangua nusu ya shida zake. Huyo anashindana tu na nguvu za asili za ulimwengu hana alichofanya.
@PolycarpMDM sasa hii ndio ilitakiwa kujengwa kutoka port hadi kibaha!! meli ikitua tren inachukua kibaha ndio kujegwe bandari kavu. malori yanasumbua sana huku mjini.
Mikutano ya hadhara ya vyama vya Siasa ni haki ya Msingi inayolindwa na katiba na sheria za nchi. Waziri wa Mambo ya Ndani hana mamlaka yeyote ya kuvunja Katiba. Agizo lake ni HOTAIR na Bwana IGP akitii agizo hili atakuwa ni mtu wa hovyo.
Mamlaka ya kutoa ulinzi wa Mikutano ni ya OCD, IGP hatajwi popote kwenye sheria ya vyama na hata huyo OCD hana mamlaka ya kutoa au kutotoa kibali. Vyama haviombi vibali vya mikutano, vinatoa Taarifa.
Bwana Katambi sijui kitambi amejiongelesha tu na OCD yeyote atakayefuata maelekezo haramu na ya kisiasa ATASHTAKIWA KAMA MTU BINAFSI
@Sativa255 Mkaachana na mila kabsa?? Kisa dini za kuja? Mda huu mgekua na raisi mwingine hapo. Asili huwa haipendi uonevu kabsa. Afuu nakushangaaaga sana eti unasema yesu kakuokoa. Hakuna bro wewe ni chosen kwenye shina lenu. Fatilia codes vizuri ujue kusudi la uwepo wako kaka! Achana kbs
@TitoMagoti Damu haiwezi kumtesa bila matambiko kaka. Tatizo mmekalia dini za kigeni ambazo kiasili zilisha wadisconnect na nature. Km mngekua connected na nature kn zamani. Hawa wote tungeshazika zaman. Kuanzia samia na wote walio husika. Damu huwa hazipotei km ziko connected na nature.