Hii hapa Video ikionyesha UKATILI WA SAMIA uliofanyika GIZANI.
Dunia hii ya leo sio ya kuficha UNYAMA kama huu. Hata hilo eneo mlilofukia ndugu zetu mkienda kufukua TUTAJUA BORA MTULIE.
REPOST 500
TUTAKUWEPO🫵😎
Mtu aliyekwambia hakutakuwa na NYWINYWI wala NYWI NYWI NYWI!!
Leo anakwambia amesikitishwa na ataunda tume ichunguze hayo mauaji!!
You had a chance ya kuzuia haya mauaji!
But you didn’t, in stead you choose to remain silent and bless them to continue.
Perhaps if you had made the decision on the first day before the 30th, you would have saved a lot of blood from our brothers.
Lakini uliacha namba iendelee kuwa kubwa huku ukijiapisha!!
On your inauguration ceremony ulitupa speech ya kuzidi kutuumiza na kututisha na sio kutuponya machungu ya ndugu zetu!!
Ukasema vurugu hupelekea kujihami na kupimana nguvu!!
So mlikuwa mnapimana nguvu na kile kichanga hakina hata mwaka?
Mlipimana nguvu na wale mabinti wa miaka 19-23 tena wakiwa kwenye makazi yao mkamwaga damu zao?
Mlipimana nguvu na watu waliofatwa kuuliwa majumbani?
Kwanini hukutoa tamko nyakati hizi?
Siku ya kuapishwa yule mzee wa kipentekoste na yule father wa Roman Catholic ndio walionyesha concern.
Lakini wewe speech yako haikutu-comfort, zaidi ya kutuongezea Trauma!!
Sasa mnakuja na story zile zile za kuundwa Tume!!
Tume which? Tume what? Tume who!?
Tume ya shambulio la Lisu ilileta majibu gani? Miaka 8 now ishapita!!
Tume ya mauaji ya mzee Kibao imeleta majibu gani hadi leo?
Tume za sisi tuliotekwa miaka 8 imepita zimewakamata wahusika gani so far?
Utekaji umeisha?? Si bado unaendelea hadi sasa!! Means watekaji wapo mitaani still!! Sasa Tume imefanya nini?
Mnatengeneza tatizo makusudi, then baadae mje kuwahadaa wananchi kwa huruma za uwongo!! ❌❌❌❌
You won the millennials generation
BUT NOT THIS #GEN_Z
🔥💪🏽
Gen Z 🇹🇿 Picking up the pieces!
This AI generated image has made the photo of the visibly tortured young man into iconic art - the soldiers and guardians of Tanganyika!
Hashtag #Tunatoka912
December 9 is the date that they have picked!
#SamiaMustGo#TanzaniaMassacre #SaveTanzania
TUNAPOSIKIA MTU AKISEMA WAMEKUFA WATU 10 TU NCHI NZIMA, TUNAMSHANGAA SISI KAMA WATUMISHI WA MUNGU
Hapo juu kanisani kwetu watu 13 wamekufa kwa mpigo, maeneo mengine katika mji wetu, ilionekana miili imelala mabarabrani"-Mchungaji Stephen Ling'hwa, Msaidizi wa Askofu, KKKT-DMZV.
REPOST
TUTAKUWEPO🫵😎
Jioni hii Jeshi la Polisi limewaachia kwa dhamana viongozi wakuu wa Chama waliokuwa wanawashikilia, viongozi hao ni;
Mhe. John Heche (Makamu Mwenyekiti Bara).
Mhe. Amani Golugwa (Naibu Katibu Mkuu Bara).
Mhe. Godbless Lema (Mjumbe wa Kamati Kuu).
Mhe. Boniface Jacob (Mwenyekiti Kanda ya Pwani).
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵😎