Mnajiita New rappers No maandilizi ndo maana mnaishia Dakika 10 za Maangamizi"🎶
Mkubwa kaona mbali sana aisee🙌🏾🙌🏾
HIP_HOP IS DEAD😔
MONI CENTROZONE ✊🏾🙏🏿🙌🏾
Baada ya mafanikio makubwa kwenye hit song yao ya "Enjoy" wanamuziki @jumajux & @diamondplatnumz wamerudi tena na ngoma mpya yenye uzito wa hali ya juu "Ololufe Mi"
Kwa hii chemistry yao hawa wenetu sio dhambi kabisa siku wakiamua kutubless na Ep✊🏾🙌🏾
#Perfectcombo🙌🏾 Ololufe Mi🎶
Moja kati ya pure talented Artist tuliobalikiwa kwenye industry ya Bongofleva ni huyu mwenetu "Ronze"🙌🏾 Kijana alieamua kujitwisha Mzigo wa Bendera ya Handeni Tanga Mabegani na kuipeperusha vyema kabisa kwenye game✊🏾 Anakwambia "MAPEMA"🎶🙌🏾 Bonge moja la ngoma 🙌🏾🙌🏾🎶 #Mapema💥💥
Kinachowafanya wana wengi kushindwa kumove on mara tu baada mahusiano kuvunjika ni Mazoe waliokuwa nayo juu ya wapenzi wao & this is reality mzee sio swala dogo😄
Na hili lina thibitishwa na wenetu Darasa & Harmonize Anasa kubwa kabisa ya Uandishi kwa kalamu zenye wino mzito🎶🙌🏾
Unatokea kima cha chini maisha duni yana torture mbungi dakika 90 hauna refa hauna kocha,kukicha unakuna nazi hauna ganji hauna vocha,demu wako nae anakupiga kizinga analocha, wanangu uturuki hadi mareshia kujbana kazkazi,watoto wa 99 skuhizi wanaitwa mishangazi😄🙌 🙌
Shout out kwa Marioo na team nzima ya Badnation🙌🏾 hivi ndivyo wasanii wanapaswa kutambulishwa kwenye Game✊🏾
Ukiusikiliza vizuri mverse wa mwanetu Stans humu ndani ni kama music aliuanza 1997✊🏾kumbe walaa, utulivu mkubwa kabisa kwenye mdundo wa beat, Uandishi plus melody 🙌🏾#2025🔥
Mverse Mbovu kabisa Kutoka kwa mwanetu Platform Plus Utulivu mkubwa wa kunata na beat Kutoka kwa kijana wa usafini "Mr Love bite" a.k.a lavalava ndio matokeo ya Hit Song Bora kabisa "Atajibeba"🎶💥🙌🏾
Umessi waliouonyesha humu ndani🙄 wenetu wanastahili pongezi kubwa sana🙌🏾🙌🏾✊🏾
Moja kati ya kijana ambae 2021 alitabiliwa kufanya makubwa zaidi kwenye industry ya bongo fleva na Big (Diamondplatnumz) Rapper tokea ardhi ya Tanga Bigway gwayne the streetmessiah ameachia Ep yake mpya "Future in The past" yenye jumla ya ngoma 5 za moto🎶🙌 Kaipeni Sikio🎶💥✊🏾
Hii Combo ya wenetu Official Gachi & Lody Music ni 🔥🔥🙌🏾
Sipo single"🎶 ni Bonge Moja la Ngoma aisee🙌🏾 wanakwambia "Ololufe chine bebi wa Hubani"😄🎶🙌🏾
Kuna asilimia kubwa sana ya wewe Kufichwa vibaya sana Pindi unapompa Marioo nafasi ya kuingiza Verse Kwenye ngoma yako..🤔 na hicho ndicho kilicho wakuta wenetu👇😂🏃🙌