@godbless_lema Kwa sasaivi ni kama Gavoo imechanganyikiwa.! Me hadi leo sielewi wanaomshauri Rais ni watu wa aina gani.
Ni kama vile wanaendelea kujichimbia kaburi wenyewe. Kama taarifa ya Gavoo ndio hiyo, Je hayo Maridhiano?
Ipo siku Mungu atajibu tuu.