🧵WASANII AMBAO KAMA SIO KUIMBA,WANGECHEZA NA SOKA NA RONALDO. RE-TWEET🙏🏿
MPIRA wa miguu ni mchezo unaopendwa na Watu wengi ila ni wachache ambao wamefanikisha ndoto zao kupitia soka.Hii ni Orodha ya Wasanii wenye uwezo mkubwa wa kucheza soka Tanzania
NB:NAMBA 1 ITAKUSHANGAZA😂