BIGGEST SUPPORTER IN THE ๐ ๐จ๐ฝโ๐ปNever washed but not new ๐ฟ
Info:Check me DM๐ฉ|
Welcome to @Husseinkaruki Official twitter Ac๐ป
Active automatic|24hrs&7daysโฐ
"When u focus on problems u'll have mor problems | When u focus on possibilities u'll have more opportunities."
@Madeeseneda , @diamondplatnumz & @HusseinKaruki ๐น๐ฟ
ZIARA MAALUM โ LANGO LA KUINGILIA HIFADHI YA TAIFA TARANGIRE (MAMIRE)
Leo tarehe 17 Septemba 2025, nikiwa na Wajumbe wa Kamati ya Usalama ya Mkoa na Mkuu wa Wilaya ya Babati, nimetembelea na kukagua ujenzi wa lango jipya la kuingilia Hifadhi ya Taifa Tarangire kupitia barabara ya Mamire.
Mradi huu wa thamani ya Tsh Bilioni 3.9, unaotekelezwa na Elerai Construction Ltd.chini ya usimamizi wa TANAPA, umefikia hatua za mwisho za umaliziaji.
Lango hili litakuwa chachu kubwa ya kuimarisha utalii , kurahisisha safari za watalii kutoka Babati , Dodoma, Singida na mikoa jirani, na kukuza shughuli za kiuchumi zinazohusiana na utalii katika eneo letu.
Nimeagiza mkandarasi kuhakikisha mradi unakamilika na kukabidhiwa mwanzoni mwa Oktoba 2025 kama ilivyopangwa.
Wakazi wa Babati na maeneo jirani, nawahimiza kuchangamkia fursa hii wekezeni katika hoteli za kitalii, maduka makubwa, na huduma nyingine zinazosaidia sekta ya utalii.
Uwajibikaji rafiki wa maendeleo ๐น๐ฟ
#Tarangire #UtaliiManyara #TANAPA #Babati #InvestInTourism
Tupate viongozi wengine wenye uweledi na wenye kupenda haki na usawa kama huyu Dada/mama yetu Mhe. @queen_sendiga Mungu akubariki na azidi kukuongoza | nimesikiliza/nimefatilia kwa umakini sana namna ulivyo pigania kupatikana na haki ya raia wa Uganda. wewe ni kiongozi bora.๐
Nawashukuru Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Kibamba kwa kunipigia kura za ushindi. Nawashukuru wagombea wenzangu kwa kushiriki na kumaliza zoezi la uchaguzi kwa amani. Sote tumeshinda. Chama kimeshinda.