Tunauza machine za kubadili maji chumvi kuwa safi na salama | Tunauza mashine za kuuza maji (water dispensing machine). Tupigie anytime 0689621429 au 0763524811
๐ฐ Biashara ya Maji Safi Yenye Faida Kubwa! ๐ง
Uza maji ya kunywa yaliyosafishwa kwa ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu!
Utarudisha gharama ya mashine ndani ya mwaka mmoja tu!
๐ Piga sasa: 0763524811 au 0689621429 kwa service na mashine za maji!
Hongera kwa Rais wa chama cha mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu Muheshmiwa Julius John Koyi. Kuchaguliwa kwako kuna kuja katika kipindi ambacho kama taifa tunahitaji ushiriki wa watu wenye ulemavu uongezeke. Hii itasaidia kuimarisha afya, furaha na nafasi ya kujiajiri.
In #boccia game scoring occurs at the end of each round (or "end"), with points awarded for each ball closer to the #jack than the opponent's closest ball. Here the referee (Hamis) measuring the distance between the two colored balls before he decides which team wins this round.
fanya biashara ya maji safi na salama kwa kutumia water vending machine
inachuja 500 kwa saa
Inatumia unit 2 za umeme
Ina app ya kulinda usiibiwe na mfanyakazi
Inafanya kazi masaa 24
huchuja maji ya chumvi kuwa matamu
Tuwasiliane kwenye 0629383776 0689621429/0763524811
Katika mchezo wa #boccia, hesabu za alama hufanyika mwisho wa kila raundi, na pointi hutolewa kwa kila mpira ulio karibu na #jack kuliko mpira wa karibu wa mpinzani. Hapa mwamuzi (Hamis) anapima umbali kabla hajaamua ni timu gani itashinda raundi hii. #chezanasi2025
Pata mashine za kisasa za kutakasa maji shuleni au kiwandani ! Zina teknolojia ya kisasa ya kuchuja maji (RO, UV, GAC), mfumo rahisi wa kutumia, na rafiki kwa mazingira. Epuka gharama za kununua maji ya kunywa badala yake nunua Mashine hii yenye nguvu. Wasiliana nasi kwa ushauri
JE WAJUA
MAPEMA WIKI HII TANZANIA ILIFUNGWA NA UINGEREZA (2-0) KWENYE KOMBE LA DUNIA LA TIMU ZA TENISI YA KITI CHA MAGURUDUMU ( WHEELCHAIR TENNIS) BNP PARIBAS 2025 HUKO ANTALYA UTURUKI
#ElimikaWikiendi
Huu ni mtambo wa kutakasa na kuuza maji
ni chanzo kizuri cha passive income
Inachuja lita 500 kwa saa
Unaondoa chumvi, magadi, kutu na kemikali nyingine hatarishi k.v madini ya risasi, zebaki n.k
unaangamiza vimelea wa magonjwa
Bei 17 Millions
0763524811
#NipeDili
๐ SAFARI BILA WASIWASI:
TAKASA MAJI YAKO KWA NJIA RAHISI NA ZA GHARAMA NAFUU! ๐ง
Unapokuwa safarini, maji safi ni muhimu! Hapa kuna njia bora na za bei nafuu za #kutakasa#maji popote ulipo: #MajiSafi#MajiChumvi
๐จ Unahitaji Mashine za Kutakasa Maji za Kisasa?
โจ Wasiliana nasi kwa mashine bora za kutakasa maji!
๐ 0763524811 au 0689621429.
๐ฌ Je, ungependa maelezo zaidi au ushauri wa bure? Tuma ujumbe sasa au tag rafiki ambaye anaejali afya ! ๐ด
#MajiSafiyaMsafiri#KutakasaMaji
๐จ Unahitaji Mashine za Kutakasa Maji za Kisasa?
โจ Wasiliana nasi kwa mashine bora za kutakasa maji!
๐ 0763524811 au 0689621429.
๐ฌ Je, ungependa maelezo zaidi au ushauri wa bure? Tuma ujumbe sasa au tag rafiki ambaye anaejali afya ! ๐ด
#MajiSafiyaMsafiri#KutakasaMaji
Kheri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) kwetu sote. Nimefurahi kutumia sehemu ya siku hii na wananchi na wafanyakazi mkoani Singida, ambapo pia nimetangaza uamuzi muhimu wa Serikali kuongeza kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma kwa asilimia 35.1.
Uamuzi huu ni mwendelezo wa hatua tunazochukua kuboresha maslahi yao na wananchi kwa ujumla, pamoja na kazi ya kuchochea maendeleo nchini.
Nimetoa wito wangu kwao na wananchi wote kwa ujumla kuendelea kufanya kazi kwa bidii na kutunza amani, umoja, utulivu na ustawi wa nchi yetu, hasa kipindi hiki tunapoelekea katika Uchaguzi Mkuu.