#ChezaNasi ni kampeni inayofanywa na taasisi isiyo ya kiserikali @ChezaFoundation lengo likiwa kuhamasisha michezo kwa watoto wenye mahitaji maalum kwaajili ya kufurahi, kuimarisha afya na kutumia michezo kama nyanja ya kujipatia ajira.
Hongera kwa Rais wa chama cha mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu Muheshmiwa Julius John Koyi. Kuchaguliwa kwako kuna kuja katika kipindi ambacho kama taifa tunahitaji ushiriki wa watu wenye ulemavu uongezeke. Hii itasaidia kuimarisha afya, furaha na nafasi ya kujiajiri.
Shahana Hajiyeva, mshindi wa medali ya dhahabu katika Paralimpiki Tokyo 2020 mchezo wa judo kwa wanawake wenye ulemavu wa macho. apigwa marufuku maisha baada ya kugundulika ana uwezo wa kuona kabisa. #Paralympics#Judo#BlindSports

JE WAJUA
MAPEMA WIKI HII TANZANIA ILIFUNGWA NA UINGEREZA (2-0) KWENYE KOMBE LA DUNIA LA TIMU ZA TENISI YA KITI CHA MAGURUDUMU ( WHEELCHAIR TENNIS) BNP PARIBAS 2025 HUKO ANTALYA UTURUKI
#ElimikaWikiendi