@maxannania Sheria inatumia CIF kama base.. Ikiwa utaagiza gari na ukalipa CIF ndogo kuliko iliopo kwenye UMVVS utatengeneza hoja yako kwenye mfumo wa upakiaji taarifa kwa ajili ya ushuru na kuambatanisha evidence kama TT copy au export entry na utapata ushuru kulingana na CIF yako husika