Tangazo la kuanza tena kwa safari za treni ya Dar Es Salaam hadi Arusha (kupitia mikoa ya Tanga & Kilimanjaro). Imeelezwa kuwa treni ya mizigo itaanza kazi Julai 20 mwaka huu huku ile ya abiria ikitarajiwa kuanza safari yake ya kwanza wiki ya kwanza ya mwezi Septemba.
"Wanangu tutafuteni pesa. #uhuru wa kweli ni Financial freedom, #uhuru mwingine wowote ni illusions tuu. Weka mipango yako vizuri,kumbuka kuweka akiba na kuwekeza." @MarekaMalili 2018