@EsirEid Nisikilizeni kwa utulivu, si kwa jazba wala shari,
Dini ni taa ya roho, demokrasia ni taa ya jamii,
Ukizima moja, giza linazidi upande wowote wa njia.
Mkiiacha dini, mioyo itapoa, haki itachanganywa na tamaa,
Mkifuata demokrasia bila maadili, sheria zitawaumiza wenyewe,
Wakubwa kuna hii Plot, ipo Buswelu Nyamadoke.
Ina sqm 1869 🙌🏼
Ina miti aina ya pines na mikaratusi, takribani 80, mikubwa.
Eneo lipo short cut ya njia inayotokea Igoma eneo linaitwa "Ndama" karibu na Kiwanda cha Cocacola.
Eneo lipo karibu na njia inayokwenda stendi ya Nyamhongolo
Nikiwa nawaza kuhusu polisi😀, kuna jamaa akaleta maada “Land rover defender new model wamezingua” , basi tukaanza story jamaa mmoja akasema mwanangu sikia,
Unajua kwanini iliitwa DEFENDER sikia chuma hii….