Maisha ni mystery moja ya ajabu sana, pale ulipo/ulichonacho waona ni kidogo kwako wataman ubadili, whilst kuna mtu anakutaman angalau awe na nusu ya ulichonacho wewe.
Somo: *SHUKURU KWA ULICHO NACHO*
@mfinanga_rm Nlichogundua lately, kama wewe bado ni mpambanaji na hutaki kufeli kwenye dili zako, crdb iache iwe kama account ya emergency ya kupokea pesa ila usihifadhi pesa zako huko
@BillyTronix1 I don't understand. Ivi ni kwanini? Mbona mwamba ana mikwaju mikali. Akipiga tour anajaza arenas nchi tofauti tofauti, How inakua ivo pale ?
@max_zitatu Kaka hata yule Jean Ahoua ni mkali sana, vikombe viko wapi? Mpanzu ni mkali sana, wapi vikombe? Uwezo binafsi unalipa pale timu ikiwa na muunganiko mzuri na si vinginevyo. Japo haibadili maana kuwa jamaa ni mzuri sana.