๐ Mwali wetu anarudi jijini Dar es Salaam kwa parade la kibingwa ndani ya Irizar.
Tungekaa huku tena kidogooo tungeanza kufikiria kuhamia ligi ya Zanzibar lakini hatuwezi, bado tuna kazi ya kuwakanda washirika wao ๐ #NguvuMoja
Kwenye mara maisha mara nyingi majibu ya vile tunavyotamani viwe yanachelewa lakini endelea kuamini vitakuja kwa wakat wake kamwe usikate tamaa.
Good morning family.
Kwenye Psychology kuna kitu kinaitwa "Premature Victory"
Hii kitu inasababisha ubongo ku relax,kupoteza focus,over confidence, careless mistakes,na kupuuza dalili mbaya.
Hii uwa downfall kwenye michezo, biashara,mahusiano hata personal struggles
Hapa shetani uwa anasingiziwa sana