@bbcswahili Hayakushundikana, nchi na viongozi kuwa kwenye tension ile ni mafanikio.
Watanzania tunapenda Amani na utulivu na hivyo vipo moyoni mwa Watanzania lakini haiondoi uhalali wa sisi kudai HAKI na viongozi wawajibikaji.
@mangekimambi ASKARI WOTE WATEGWE MITAANI
Kwangu akija mpangaji nikamfahamu ni askari simpangishi nyumba yangu, dukani kwangu kote nisha wazuia wasihudumiwe chochote iwe mahitahi ya nyumbani, spare au hata vifaa vya ujenzi hata kama bidhaa anaiona, misiba yao kwenye nzengo sitohudhuria nk
@privaldinho Kwani hufahamu kuwa huyo SportPesa aliwahi kudhamini wote Simba SC na Yanga SC kwa wakati mmoja, je ulisikia watu wakilalamika?
Kuna mtumishi yeyote wa management ya Vodacom ambaye ni kiongozi wa juu kwenye hizo timu?
ACHENI PROPAGANDA KUHALALISHA BATILI.
@Roma_Mkatoliki Mimi na mke wangu tulioana in our 20s na sasa tuna miaka 9 kwenye ndoa na familia ya watoto watatu tunaishi vizuri na wala hatujutii kuoana mapema. Zote ni baraka za mwenyezi Mungu.