Starting to roll out today: Claude Whiteboards, Claude Sheets and Claude Data.
Think a plan through on a board, build a tracker in a sheet, and tell a story with your data.
@curldenny@Lunguya17652@Thereal_taivina Mkubwa, hakuna benki inaweza acha loophole nyepesi kama hiyo kwamba nikipoteza simu tu tayari mtu anaiba pesa never, wangapi wanapoteza simu hawaibiwi?. Nyie shida mnaswapiwa simcard zenu,au either mnaweza password nyepesi kuguess au mnasave passwd kwenye notes app,unategemea nn?
@Lunguya17652@Thereal_taivina Huwezi bro,
U cant do shit bro, hivi vitu unavyoviongelea nacheza navyo daily,card number,Expiry date and Year na CV2 ndo unavipata kwa kushika simu ya mtu? So this is the IT knowledge that you have....
Mungu akusaidie sana, njoo shika simu yako ukishindwa YBWYB