Wengi mnaiangalia hii series ya The Day of The Jackal lakini hamna kitu mnafahamu kuhusu huyu mwamba.
Hapa masela wametaka kuiba idea lakini wameiweka kisasa zaidi.
Ukiiangalia hii series, Duggan kama alivyokuwa akiitwa jeshini ama Charles kama alivyokuwa akiitwa na familia yake ama Jackal kama alivyokuwa akiitwa na watu waliokuwa wakimpa kazi.
Utagundua kwamba mchizi aliamua tu ku-fake kifo chake baada ya kutoka jeshini, yaani hakutaka kabisa kujihusisha na mambo ya kijeda.
Sasa in the real life ya The Jackal himself ilikuwa inafanana kama hivi.
Kuna mzee by then alituambia sababu kubwa ya The Jackal kutafutwa sana na Marekani ni kwa sababu alitoroka jeshini, "aliwachoma" wanajeshi halafu akaamua kuanza kufanya mauaji kwa kukodiwa, yaani kama series inavyoeleza.
Sasa Jackal alikuwa anabadilisha sana sura, yaani leo yupo na sura hii, kesho yupo na nyingine, na wengine wakasema endapo ungekutana na Jackal mara mbili, ilikuwa ni lazima akuue hata kama hukumkosea.
Lil Wayne almost died at age 12 when he accidentally shot himself in the chest. He came home early from school on report card day, and found a .9mm handgun sitting on a bed in his home. He started playing around with it and accidentally shot himself in the chest. Miraculously, the bullet missed all of his vital organs, but he quickly began bleeding out. Luckily, an off-duty police officer named Robert Hoobler responded quickly to the 911 call, and was able to save Lil Wayne's life.
@SuluhuSamia@prabowo Mama kipenzi cha watanzania tunaomba utuanzishie wizara ya kubeti ijitegemee iwe na bajeti yake kwa mwaka tukopeshwe vijana tumsake muhindi 🤝
Jana kulikuwa na event ya TMA
Ambapo wasanii waligawiwa tuzo kutokana na juhudi walizofanya..
Ndani ya Tamasha hilo kulikuwa na Mambo mengi saana,
Ikiwemo, perfomance ya dogo Dani wa Lunya, Chino kumkataa marioo na nk.
Angalia ilivyokuwa...
Video kwa Comments👇
Huyu kipa wa simba Anafungwa magoal ya ajabu ajabu tu anapangwa kisa kocha ni simba mwenzake 🚮 Yona Amos Anawekwa benchi unaanzisha Bench warmer kipa namba tatu huko Ukoloni
Again…..
Kuandika mistari tu ni rahisi✅
Kuchana tu ndio rahisi saaaaanaaaa✅
Hiyo👆watu wengi wanaweza hiyo…mtaani huko kuna madogo na wana kibao wanaweza!! Ona hadi The late bibi cheka alikuwa anachana na ni mzee.
Hata 🇺🇸 kuna youth’s kibao mtaani wakike kwa wakiume wanachana haoooo Jay z na Jada wakasome.
Kuna hood huku unakuta kitaa kizima kinajua kuchana sanaaa kila unayemgusa nyokoo!!🔥
Kama congo tu kila mtu anaimba noma….unatua airport unashangaa dereva tax anaimba kumzidi falii mpaka unadata….
Kuishawishi audience ipende wimbo wako sasa hii ndio kibarua kizito kinawashinda wengi akiwemo MTU FUDENGE na huu ni mwaka wa 15 hajaliweza hilo, na umri ndio huo unasonga jua la saa 10 tayari!!
Mungu amfanyie wepesi…..akunjulie watu ili nayeye akunjuliwe!!