Leo Baada ya kumfunga Wolves nitatoa njia saba ambazo ntazitumia kumfunga man city pale wembley.
dodoso-
-kwanza Ntahakikisha yule semenyo na rayan C, Nawatoa mchezoni !.
- halafu kipindi cha kwanza Tupate kona nne (hizo ntazitumia kama penalty)
game itakuwa imeisha๐๐ป๐