"Usione mtu anajituma sana ukaanza kumuwekea vizingiti.Muombee kwa mungu azidi kumbariki,huenda ndiye tegemezi pekee la familia yake na hana cha kurithi zaidi ya jina la ukoo"
~ 𝐌𝐬𝐰𝐚𝐡𝐢𝐥𝐢~
Kijana wa Kitanzania
1. Akioa/Kuolewa mnamchangia
2. Akifa/Akifiwa mnamchangia
3. #HBD yake ikifika mnamchangia
4. BBY shower ya mtoto wake mnamchangia
Lakini
Akikosa Mtaji Hakuna wa kumchangia👀