Mdada akija mitandaoni na akasema "Siwezi kudate na mwanaume maskini" au "Siwezi kuolewa na mwanaume ambaye hana hela", kwa watu hii itaonekana ni sawa tu just fine.
Mwanaume akija mitandaoni akasema "Siwezi kudate na mwanamke ambaye kaishalala na wanaume wengi" au "Siwezi kuoa mwanamke ambaye sio Bikira", automatically hii itaonekana ni tatizo kwa watu na utaonekana kama bado hujakua.
Kuna upuuzi mwingi huku mitandaoni baadhi ya wanaume na wanawake wanautumia kudanganya watu hasa vijana wadogo kwa kusema maisha ya zamani ya mwanamke hayana maana "Her past is her past" "Her past doesn't matter" kwamba unatakiwa umpende mwanamke kama alivyo.
Ila linapokuja suala la Mwanaume kupendwa kama alivyo inakuwa ngumu mpaka Bank account yake iangaliwe ina shingapi.
Sikia bro, kama bank account yako ni muhimu kwa mwanamke basi hakikisha na yeye ni Bikira.
Check your phone's IMEI for FREE with https://t.co/bUqsNyG903.
The check contains all the information, including Model, Blacklist, iCloud Status, SimLock, Carrier, and more about your device. (https://t.co/JcUTVVbpy7)