Nadhani ni Muda sahihi kuwaonyesha @CAF_Online@CAFCLCC uzuri wa Uwanja wa Amani New Complex na upo tayari kwa Mashindano Makubwa.
Match ya Fainal Ipigwe pale.
Wachambuzi wa TFF & Makolo wamepigwa na ganzi kubwa sana. Wanajua kabisa lawama zinapaswa kwenda wapi lakini wao wamekomaa na CAF. Kosa la CAF ni nini? Tuelewesheni.
Mnaposema Serikali iwaambie CAF waje kukagua tena na Match wairudishe Mkapa Stadium Mnajaribu kumaanisha Serikali Iseme Zanzibar Hapafai kuchezea Match ya Fainal? Mnajaribu Kuhujumu Uchumi wa Buluu wa Zanzibar? Kwanza tunatakiwa kushukuru Match imebakishwa Tanzania.