Nimesoma MJADALA wa Mwakinyo kuhusu Tshirt yake binafsi nishaandika maoni yangu jana usiku na leo asubuhi.
Mimi nimempongeza kwa alichofanya na msimamo wangu utabaki hivyo. Na msingi wa MSIMAMO WANGU ni katika hizi nyakati za GIZA kufanya alichofanya japo hata kwa kidogo mimi naamini ni KIKUBWA SANA KWENYE SAFARI YA KUPIGANIA HAKI.
Ndiomaana kuna msemo tunasema “Asante Mungu hata kwa hiki KIDOGO, tumeambiwa tushukuru kwa kila jambo maana tukishindwa kushukuru kwa kidogo hata kikubwa tutashindwa kushukuru”.
Watu wangapi maarufu hata KUTAJA JINA “TUNDU LISSU” hawajawahi na kuogopa WAKOLONI WEUSI watawafikia.
Watu wangapi hata kuenda mahakamani kwenye kesi ya Lissu wanaogopa kwa kuogopa WAKOLONI WEUSI watawafikia.
Wote mashahidi kesi ya LISSU kila mtu nchi nzima alikuwa anafuatilia, wengine wakaishia kuandika kwa mafumbo kuonyesha kumkubali LISSU, ila Mwakinyo alisema hadharani na kumpongeza bila kuogopa WAKOLONI WEUSI WATAMFIKIA.
Mimi maoni yangu yapo vile vile kwa alichofanya jana kuweka picha ya Tundu Lissu kwenye Flana yake nyuma ni ushindi MKUBWA kwa wapigania haki—hata kwa hicho kidogo sisi tunashukuru maana wapo wengi wanaogopa na wameshindwa ila yeye kaweza kufanya kwa udogo ule na ukubwa ule ASANTE CHAMPEZI.
NB: HATA UFANYE NINI CHINI YA JUA BINADAMU WATAONGEA—HIYO NDIO ASILI YETU.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
HUSTLE ZA MTAANI USTAA, PESA NA JELA
Daystar Shemuel Peterson anayejulikana kama Tory Lanez alizaliwa tarehe 27 Julai 1992 Brampton Canada. Akiwa mtoto wa baba kutoka Barbados na mama kutoka Curaçao Lanez alikulia katika mazingira ya tamaduni mbalimbali akiishi Montreal, Miami👇
MZIGO MPYAAA UMESHUKA WA PIKIPIKI USED 📌
ZINAFAA KWA BIASHARA NA MATUMIZI BINAFSI.
ZIPO UBUNGO RIVERSIDE 📌
0747365096 (Watsap/Normal)
MIKOANI TUNATUMA 🇹🇿
FUNGUA UZI KUONA PIKIPIKI 👇
TAARIFA KWA UMMA.🚨
SATIVA17 tumefanikisha tulichokiahidi kwa @Finah_Business .
Tumempa MTAJI wa 4M CASH leo 5.5.2025.
SATIVA17 ni TAASISI ambayo inajihusisha na KAMARI kwasasa. Wafuatao wameshiriki kikamilifu kwenye mtaji huu aliopewa FINAH.
1. @Sativa255
2. @Thereal_taivina
3. @kingwakitaa01
4. @prolific_88
5. @Champione_Tips
6. @Chabuluma1xbet
7. @is_Dickson_9
8. #Ozil
Mwaka 2025 ni mwaka ambao tutasaidia watu mbali mbali hasa vijana kulingana na malengo tuliyojiwekea. Tunafanya hivi kwa AWAMU ambapo tutafanya kitu kwa mtu / watu kila baada ya miezi minne. Inamaanisha kwa huu tutafanya hivi mara 4.
Na tukijaaliwa UHAI Disemba tutakuwa na jambo kubwa kama TAASISI kwa jamii yetu.
Sisi ni vijana tunaoishi kwa KAMARI, tumejikusanya kuifanya “Betting business” lengo ni kufika wote. Tunarudisha kwa jamii kama sehemu ya kukumbuka na vijana wenzetu ambao wanapambana kwenye angle tofauti.
Leo tumemgusa FINAH ila naamini baada ya Muda nae ataenda kumgusa mwingine na mwisho jamii inaenda kuinuka. Tunatambua HATUWEZI KUMALIZA MATATIZO YA VIJANA WOTE, ila tunaweza kuleta NAFUU KWA BAADHI yetu.
Maisha yetu ni FUMBO, hatuzijui kesho zetu, ndiomaana tunapopata kibali kumsaidia mtu atoke sehemu moja kwenda nyingine tunafanya bila kusita tukijua hata sisi hatuijui kesho yetu na nani atatupa MSAADA.
Naomba kuwasilisha na nimtakie @Finah_Business kila lakheri kwenye hii SAFARI yake ikawe ya mafanikio.
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Mwanangu kuna muda Mwanamke atakupostia location kali Masaki, atakupostia chakula kizuri anachokula hotel moja Mbezi Beach, atakupostia tiketi ya Ndege na vacation yake Dubai, huo mtego usiingie ili ukidhi kiwango na hadhi yake, wengi wameupata Umaskini na kupoteza dira ili kumridhisha Mwanamke wa aina hii, nakusihi kuvaa viatu vinavyokutosha.
Mwanangu wengi watakwambia ndoto nyingi zimekufa za Vijana kisa kubaniwa Maofisini ila HAPANA stori nyuma ya Makaburi mengi Kinondoni ama Sinza kwasasa ni Mapenzi, stori nyuma ya kushindwa kwa wengi ni Mapenzi, Vijana wanauza sana nafsi anampenda Mwanaume kupitiliza na Wanaume wanapenda Wanawake kupitiliza, kila kitu fanya kwa kiasi tu, wapo wanaokuja kwako kumkomesha Mpenzi wake, wapo wanaotaka Ndoa kumuumiza Ex wake tu.
Mwanangu unaishi kwenye dunia ngumu sana, hii dunia ambayo wengi wanaamini kutembea kwa miguu ni dalili ya Umaskini, dunia hii Kijana Mdogo anasukuma mpira mkali, dunia hii Mtu akipata pesa anageuka Mshauri na kukosoa wengine, Mwanangu Utajiri una siri kubwa sana, hakuna atakayekupa siri ya Ushindi kwakuwa siri ndio Ushindi wenyewe, kwa dunia inavyoenda itafika miaka sitotaka Msaada wako mpaka nijue umepataje, ukweli unaouma.
Mwanangu nakuombea heri sana kwenye dunia ya Mungu ila vitu vya Mzungu.
MSHUA.
Forest Coffee shop ni moja ya business ideas nzuri sana kwa maeneo yenye baridi kama Arusha, Mbea, na Moshi—unanunua container dogo alafu unamtafuta @townsendKontena akufanyie customization nzuri! Hakikisha kuna free WiFi, fancy chairs, na soft music.
We're excited to share the progress of this container design crafted with care and precision by our skilled team. If you're interested in purchasing this unit or exploring a custom design, we'd be happy to assist you. Feel free to reach out for more details 0747 648 523
Kazi zinaendelea, Karibu sana Kwa mahitaji yote ya Kontena Hapa ndo sehemu yake. Tunapatikana Kurasini mkabara na ofisi za Uhamiaji.
0747 648 523
Ramadhani Mubarack.
Moja ya ndoto niliyokuwa Natamani sana kuitimiza.
Namshukuru MUNGU kwa Kunipa mwanzo huu nina imani nimeanza safari ambayo itazaa matunda zaidi.
Karibuni Kalage Cereal Suppliers.
Mchele safi kutoka Mbeya unapatikana hapa.
Location: Mbezi Beach Africana, Mtaa wa Muafaka.
Mawasiliano: 0678213259
Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
#TajiriLaKihaya
DEMOKRASIA imeshinda… HAKI imeshinda…
SAUTI ya UMMA ni sauti ya MUNGU…
CHADEMA Imeonesha maana halisi ya KUPIGA KURA KWA UWAZI✌️
CCM na TAMISEMI wana la kujifunza hapa….
#TajiriLaKihaya
Yote kwa yote PONGEZI saana kwa MBOWE kwa kuonesha maana halisi ya DEMOKRASIA…
Na Rasmi wewe sio MUGABE wala MUSEVENI maana madikteta hawawezi kubali kutolewa uongozini kupitia sanduku la kura…
FAM historia itakukumbuka kama mwana Demokrasia haswa… Hatutakusahau!
Ushauri wako bado unahitajika ndani ya chama….