@J_Mcalifonia@zamo_tz Sio kudhani,,.
1. Gari ndogo ya kijivu imepotea alafu ikatokea tena
2. Tyres zimebast na kutoka kabisa, pia gari isingelala hivyo maana pana tyre 6 za zilizobast ni mbili.
3. Contena limeanza CAT, haina chata kisha ikawa ONE.
4. Lock za contena ni fupi lazima lingeanguka.
Kwenye post za hili tamko la leo kuhusu wa 🇹🇿 pambanieni katiba.
Comments nyingi zinasema
-Huyu anatufaa anaongea lugha yetu.
-Anavyoongea kwa upole hadi raha
-Huyu anaonekana ana huruma na wananchi
-Mzee kanyooka sana anatufaa!!
Kiukweli mitanzania ni mibumunda sana, rahisi kweli kuichota akili 🚮
aaaf inasahau haraka!!
Inasahau kuwa kila aliyekuja kuwa miyeyusho alianza kwa lugha tamu hizo hizo!!
Mimi nitakuwa wa mwisho kumuamini whoever anayetoka upande ule wa vegetables.
Ni kweli VICEnt seems like a good man, tatizo anaongelea akiwa wapi!!
Mimi moyo wangu umekuwa mzito sana kuwaamini hawa……
VIDEO:
"Nikiambiwa kuna jambo tu kama Makamu wa Rais waambie Watanzania, nitasema pambaneni mpate katiba mpya, katiba ambayo ina makubaliano ya wadau wote, katiba yenye muafaka katika taifa, katiba ambayo kila Mtanzania popote alipo atajiskia fahari kujitambulisha mimi natoka Tanzania, katiba inayojali maisha", - Dkt. Nchimbi.
Hayo ameyasema Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi leo Julai 24, 2026 akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania @thrdcoalition unaofanyika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
@DadaEstie@kirigitim Huu mji inabidi kila mtu umuone kama tapeli kwanza kisha uwe makini na kila kitu,.. mm nikiambiwa tu mashine yake haitoi risiti naacha maana wengine ndio utapeli wao.
@saed_ameer88@bonifacejoseph_ Sababu za kaka kukaa bench kwa ozil ni kuumwa na mifumo ya mourinho, pia prime yake ilikua imeshaondoka ila sio wa kulinganishwa na ozil hata kidogo.
@bonifacejoseph_ zungumzia wachezaji uliowaona wakicheza,, wewe ata ukiulizwa Iniesta na kaka ni nani bora utajibu kwa kusikiliza story na kuangalia highlights tu ila hujawaona wakiwa kwenye ubora wao.