Kati ya vitu hupaswi kufanya kama kijana mpambanaji ni kujidharau. Hata kama waliokuzunguka, wazazi, marafiki, mpenzi nk. Wanakudharau, wewe usiruhusu kujidharau.
You are more than what people think of you. PROVE IT 🔥
Kuna KILAZA anaenda kuosha kinywa na chumvi kisa kaambiwa na kilaza mwenzie AMERIX au Mfalme kuwa dawa ya meno ina fluoride
Hajui chumvi ni NaCl, ina Chloride ambayo kimsingi haina utofauti na Fluoride. Zote ni Halogens (Group VIIA), electronegative na zinaform ionic bond
Ukweli mchungu:
Unaweza kuwa smart sana
Unaweza kuwa na IQ kubwa sana
Unaweza kuwa na uwezo wa hali ya juu sana
Unaweza kuwa na juhudi ya kiwango cha juu
Unaweza kuwa na visions matata sana
Ila kama jina lako halijafika kwenye meza ya watu sahihi, utasugua sana gaga, my friend.
@DearS_o_n When you don’t contribute, you give others room to gossip, belittle, or control you. It’s not just about food it’s about self-respect. Earn your seat at every table, and you’ll never owe silence to anyone’s judgment.
Miaka inavyoenda namuelewa zaidi Mzee Matata kwanini alikua anatusisitiza kusali sana. Sala zimekua msaada mkubwa sana kwenye maisha yangu na nina mshukuru sana kwa kutufundisha umuhimu wa ibada
Bro, hata giza liwe nene kiasi gani, amini ipo siku mawingu yatawanyika, nuru itakumulika, na wewe utanunua gari yako ya kwanza
Then, siku utambeba bi'mkubwa wako hapo siti ya mbele kumtoa outing...she'll be very happy😊
Ukim-drop home machozi ya furaha yatamtoka
Sema Amen🤲🏽🫵🏽
Kama huna issue.. Jifunze Content Creation.. Hii skill kama hutaweza piga hela kwa content zako basi kuna watu kibao wanahitaji uwatengenezee content zao.. Kuanzia personal brands, wajasiriamali, mpaka makampuni..
Haipati siku mtu hajaniuliza kama najua mtu anaweza fanya content.
Wanaozivaa changamoto ndio wanaofanikiwa zaidi ya wanaozikimbia. Unakataa kupanda na tofali juu ya gorofa sababu linachosha ila unalalamika jengo halikamiliki. Tafuta miujiza.
@bohny_chengula Vitu 8 Kijana Anayeanza Kufanikiwa Anatakiwa kuvi-avoid
1. Kuamini kila mtu ni rafiki
2. Kuchelewa kupanga malengo
3. Kukopa bila mpango
4. Marafiki wa hela tu
5. Kuacha kujifunza
6. Ulevi kupitiliza
7. Starehe kupita kiasi
8. Wanawake wengi
#KahawanaCEOs
CEO , Kamwe usione fahari na jambo jema kuongoza Taasisi ama Kampuni ambayo watu unaowaongoza ni wenye umaskini. Jifunze kutoka kwa CEO Andrew Carnegie Yeye aliwahi ulizwa mbona wafanyakazi wako ni matajiri akasema "Walikuja wakiwa hawana utajiri na sasa wanao."
Today, I had the pleasure of attending the Future Ready Summit 2025 and exploring the dynamic exhibition space. It's inspiring to see how digital innovation, youth-driven solutions, and sustainable technologies are shaping Tanzania’s future. At @ShambaBox, we're proud to be here
I attended 🇹🇿 Innovation Week and joined other stakeholders to speak about the growth of fintech in Tanzania and how to regulate it as the sector evolves.
I also had the opportunity to comment on the relevance of Entrepreneurship Support Organizations to startups.
At @shamba_box , we empower agripreneurs & farmers to build a more sustainable, food-secure Tanzania through:
>Agri-business & Agri-preneurship advisory
>Incubation & acceleration programs
>Data-driven research & Data Collection
>Policy advocacy
👉 Connect: [email protected]
@Vijana4Food@eastafricaradio@GAIN_TANZANIA@SaddamKhalfan@earadiofm Ni kweli kwamba virutubisho vinaongezwa kwenye vyakula muhimu, lakini umaskini bado ni kikwazo kikubwa kwa wengi kumudu hata hivyo vyakula vya msingi.
Lishe bora siyo tu virutubisho, bali pia upatikanaji wa vyakula mbalimbali kwa uwiano sahihi.💯💪🏾
🎉 Congratulations, Anastazia! 🎉
We are incredibly proud of you for being selected as part of the new generation of youth leaders joining @Act4FoodGlobal this year.🌍💚
#vijana4food#Act4Food