Safari.ya forex inaanzaga ngumu sana mwanzo unapigwa sana na market ,then ina kurewards kidogo ,unapigwa sana na zaidi ,emotions zinakuwa nyingi sana hapa watu wengi ndio tupo na tunakataa tamaa hapa lakini still more time ,market inahitaji discpline, consictancy na risk manag