Shirika la Save the Children limesema maelfu ya watoto na familia katika Jimbo la Jonglei, Sudan Kusini, wanalazimika kuishi kwa kula majani, maua ya maji na mbegu zilizotengwa kwa ajili ya kupanda kutokana na kuongezeka kwa njaa kufuatia miezi mitatu ya machafuko ya kivita.
Machafuko yaliyoanza mwezi Machi yamesababisha kusitishwa kwa huduma za kibinadamu katika baadhi ya maeneo, kuhamishwa kwa wananchi na kukwamisha misaada muhimu.
Shirika hilo limesema maelfu ya watoto wameacha shule huku wengine wakilazimika kufanya kazi au kuozeshwa mapema kutokana na hali ngumu ya maisha. Na kwa mujibu wa tathmini ya Kimataifa ya Uainishaji wa Usalama wa Chakula (IPC), zaidi ya watu milioni 7.8 nchini humo wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula
Source: Save the Children
Haya maandamano ni ya muhimu sana na lazma yasukumwe sana na watu ambao mna access na wananchi both online and on the ground.
Watanzania no one is coming to save us. Lazma tujipiganie wenyewe. We have to fight for a new constitution, Tundu Lissuโs freedom, accountability for October 29 massacre. and we have to fight for new free and fair election.
International pressure itasaidia mauwaji kuogopa kuua tena ila the rest of the work Lazma tufaye wenyewe.
Hii audio ya machawa kuchambana mmeisikiliza? Hatari! Abdul anawalipa milioni 10 kuja kututukana hadi โviongoziโ sijui wa CCM au Chadema! Yaani inabidi mpambane mkaisikilize ni HATARI!
Hizi pesa wanatoa wapi? Na anasema mchambaji mmoja kwa mwenzake kuwa pesa walilipwa za serikali si mtu binafsi!
Ndo mjue watumishi hamlipwi mishahara ili pesa zilipe wachambaji watutukane wanaharakati!
Ufisadi mtupu!
#TutaelewanaTu
๐ Hilda, ni kwamba umetisha. Haya ndo mambo tunapenda kuona, haka kauji kanaanikwa hadi kabaki uchi. Ubaki ushungi tu. Vijichawa vyake njaa naona vipo kazini kutetea upupu wa David. Wamedata. Mama yao hasafishiki hata kwa blichi, #TanzaniaMassacre inamhusu.