Ila siku Lissu akitoka Ukonga hiyo rally ya kwanza sijui itafanyikia wapi patoshe kua-accomodate nyomi..
Kwanza siku hiyo Lissu hataongea chochote, akikamata mic tunaimba 'Rais, Rais, Rais, Rais, Rais' mpaka muda unaisha... Afu tunamsindikiza mpaka nyumbani kwake Tegeta