"Ni jambo la aibu kusikia wito wa namna hiyo, ni matusi kwa Watanzania lakini pia ni kuvunjiana heshima...Anaridhiana na nani?, kwa sababu gani?...kutokea wapi?."-Wakili mwenye hasira kali Ndugu @TitoMagoti akijibu hoja kuhusu kinachoitwa Maridhiano, nchini Tanzania.
REPOST
Jioni hii Jeshi la Polisi limewaachia kwa dhamana viongozi wakuu wa Chama waliokuwa wanawashikilia, viongozi hao ni;
Mhe. John Heche (Makamu Mwenyekiti Bara).
Mhe. Amani Golugwa (Naibu Katibu Mkuu Bara).
Mhe. Godbless Lema (Mjumbe wa Kamati Kuu).
Mhe. Boniface Jacob (Mwenyekiti Kanda ya Pwani).
REPOST 200
TUTAKUWEPO๐ซต๐