@ShirimaYvonne@Finah_Business@mankadolly Inawezekana kafanya kazi na winga,kwa mtu ambae anamiliki ofisi anakubadilishia rangi au kama hakuna basi atarudisha pesa alafu atamuuzia mteja mwingine.
Au kingine anafanya biashara na mtu ambae hamjui wamekutana mtandaoni pengine hata ofisi yake hajui ilipo